changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

    Fadhili Mpunji Mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu kampuni ya serikali ya China inayotengeneza malori aina ya Sino-Truck, imetangaza kufungua tawi la kiwanda chake nchini Tanzania, likianza kwa uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 20, na kutoa ajira kwa watu 500. Hatua hii sio...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Je hizi ni changamoto za miaka ya 30s ama ni matatizo ya kiafya?

    Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni. Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani...
  4. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

    Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku. Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kuwa mjasiriamali ni moja...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Faida Na Changamoto Za Kuuza Viwanja Au Nyumba Bila Kuwa Na Dalali

    Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
  6. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

    Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique. Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno. Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  8. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kukabiliana kihalisi na changamoto ya ubaguzi wa rangi

    Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Leo kilele cha Wiki ya Maji, tuorodheshe changamoto hapa

    Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha. Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta nashauri bodi za Bonde ziachane na mapendekezo ya ada mpya na leseni hasa za visima. Wamiliki...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  12. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania Umeme wa REA kiukweli umeleta changamoto sana kwa baadhi ya waombaji wapya wa Umeme

    Pamoja na serikal ilifanya vizuri kuja na mradi wa kuleta umeme katika maeneo ya mbali na mijin Kwa maoni yangu naona bado katika baadhi ya utekelezaj wa mradi hii watekelezaji walivurunda sanaa hasa katika swala la kuzingatia uwekaji nguzo katika mipaka baina ya kiwanja kimoja na kingine...
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  18. syli mchunguzi

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

    Kuna mwanaetu kapatwa na changamoto kutoka kwa mke wake Kama ujumbe wa unavosomeka hpa chini
  19. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Start Up: Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha

    Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha, kupata investors nk
Back
Top Bottom