changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

    Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba...
  4. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

    Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa. Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha yangu yote ya ukubwani (kuanzia baleghe)nimekua ni mtu ninayevaa boksa moja kwa siku, hivo...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika unawasaidia watu wa Afrika kukabiliana na changamoto zao za kimaisha

    Fadhili Mpunji Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye sekta ya ujenzi wa miundo mbinu unaendelea kuleta manufaa kwa nchi mbalimbali, na katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ushahidi na mifano mingine inaoonesha kuwa, ushirikiano huo sio tu umekuwa ni wa kunufaishana, bali pia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika utumiaji wa mfumo wa TANePS

    TANEPS ni mfumo ambao Serikali na mashirika mengine ya Umma wanautumia Kutangaza Tender Mbalimbali kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa serikali NA Sheria ya manunuzi ya serikali kwenye huduma mbalimbali Mfumo huu Mara nyingi wanapotangaza tender wanatuma Email kwa wale wote ambao wamesajiliwa...
  8. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kununua magari ya mkononi

    Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo. Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi.. Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa udalali ni mwingi.. Maneno kama AC unaganda.. Gari ya kufugwa.. Gari ya Mhindi..Namba D hiyo...
  9. kussy

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya vumbi nyeupe nyumbani

    Habari Wadau! Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi. Hii inaweza kuwa inasababishwa na nini Wadau?
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dondosha hapa changamoto yako ya mapenzi ya ujanani tusaidiane kuitatua

    Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani. Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

    Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
  14. A

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  16. I

    JamiiForums Tanzania E-VAT FILLING SYSTEM UNA CHANGAMOTO KUBWA!!!!

    Napongeza marekebisho yanayofanywa na TRA kwenye ukusanyaji wa mapato kwa kutumia njia za kielektroniki. Mabadiliko hayo ni pamoja na mfumo mpya wa kuwasilisha ritani za VAT ambapo mfumo ulioboreshwa na kuanza kutumika kwa mwezi machi 2022 una changamoto kubwa. Kwamba kawaida risiti...
  17. Riz king

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wazo, nimepata changamoto kwenye mfumo wa ajira

    Habarin wana JF, Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta...
  18. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
  19. FAJES

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini shughuli za kilimo na ufugaji zimekuwa na changamoto nyingi kuliko matarajio ya watu wengi?

    Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo: Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku? Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha? Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
Back
Top Bottom