changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na changamoto za ukuaji wa viwanda vidogo vidogo

    Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama uselemala, ufundi kushona na vingine vingi. Viwanda hivi vidogo kama endapo vikawekewa mikakati ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za kiusalama zinavyoisumbua dunia ya leo

    Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi utakubaliana na mimi kwamba dunia ya Leo kiujumla na kwa nchi moja moja zinakabiliana na matishio...
  3. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto ni fursa; Uchafu ni fursa kwa kuzalisha umeme, gesi ya kupikia, vilainishi pamoja na mbolea yenye virutubisho

    Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa hiyo kutokana na uchafu, mazingira yanakua sio safi na salama kwa viumbe hai ndani yake. Asilimia 37%...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia watoto majumbani

    Jamii yetu kwa ujumla tunajau/tunafikiri changamoto ziko kwa watoto wa mitaani tu ila jibu ni hapana kwani watoto wa majumbani nao kuna changamoto mbalimbali ambazo zinawapeleka kuishi kwenye mazingira magumu. Mfano wazazi/walezi kushindwa kujua wajibu wao wa kuwapa watoto elimu bora, afya...
  5. Sumu ya nyigu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usonji na changamoto zake

    Usonji ni moja ya matitizo ya afya ambayo mtoto huweza kuzaliwa nayo .hii ni hali ya kudumu tangu kuzaliwa hadi mwisho wa mtu husika. Matatizo hayo hugundulika katika umri wa miaka miwili katika ukuaji wa mtoto tatizo hili huambatana na mabadiliko ya tabia za mtoto kama vile utendaji wa mtoto ...
  7. Botolani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za mitaala, shule na elimu

    Utangulizi Habari za wakati huu mwana JF. Karibu kwenye makala haya ya kimtazamo yanayoangazia changamoto za mitaala ya shule pamoja na elimu kwa ujumla. Katika hali ya kawaida Msingi wa elimu huanzia shuleni ambapo mwanafunzi huanza akiwa hajui kusoma wala kuandika mpaka kufikia hatua ya juu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyoweza kuondokana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  9. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  10. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    Habari JF, Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta. Hapa shida ni nini?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

    Habari wadau Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi! Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
  12. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania Elfu arobaini (40,000) ilivyobadilisha maisha yangu na changamoto nilizopitia katika biashara

    Wakuu poleni kwa majukumu ... Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es Salaam kuishi nyumbani kwa mjomba , wakati ulipofika wa kuapply chuo basi nilijikuta nafanya maamuzi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dondoo za biashara ya pilipili manga, masoko, bei na changamoto

    Wakuu habari za asubuhi, Ninaomba muongozo juu ya biashara ya pilipili manga. Bei, masoko na changamoto zake hasa kwa mikoa ya Dar na Tanga. Natanguliza shukrani za dhati.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi. Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kazi katika mashirika ya kujitolea ya jamii

    Miaka kadhaa iliyopita nilipata kazi kwenye shirika moja la maendeleo ya jamii. Katika shirika ilo nilipelekwa kijijini sana uko mkoani Tabora ambapo niliyekua nalipwa mshahara ni mimi pekeangu huku wanachama wengine wa shirika wakifanya kazi ya kujitolea na kupokea tu posho ndogondogo. Asee...
  16. Tall Guy fam

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  17. Kelela

    JamiiForums Tanzania Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  19. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
  20. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Baada ya Changamoto uwezo wangu wa akili umepungua

    Habari Wana Jamii Forum Nianze Kwa historia kidogo , Takribani miaka minne iliyopita nilikuwa napitia vipindi vigumu sana Kwa sababu nilimpoteza mwenzangu, malezi na majukumu kuniwia mengi Kutoka kwenye hali ya kutokujishughulisha kivile (kama mjuavyo wadada wamama wa Kiafrika ukiwa na...
Back
Top Bottom