changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  2. M

    JamiiForums Tanzania Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Demokrasia kwenye Nchi nyingi

    (i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu wasiojiweza hulazimika kuuza kura zao ili kutimiza mahitaji yao ya Msingi (ii) Ufisadi na Uzembe: Katika...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa kujibu maombi ya uwekezaji ni changamoto ya uwekezaji

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) 2019/20 imeonesha changamoto zinaweka ugumu kwenye mazingira ya uwekezaji Tanzania. Changamoto hizo ni pamoja na Maafisa wa Kituo cha Uwekezaji kukosa mamlaka ya kutoa baadhi ya huduma. Pia ucheleweshaji wa majibu ya maombi ya uwekezaji...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uwajibikaji: Changamoto za Usimamizi wa Rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa; Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753 Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
  7. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Habari GT, Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake. Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na changamoto zake, hebu tuangazie kidogob jamii ya watu wa huku katika nyanja za siasa, uchumi na jamii kwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

    Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No! Wapo kianalog analogi sana! Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa! Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka viongozi kusaidia utatuzi wa changamoto za wananchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kusaidia utatuzi wa matatizo yanayowakabili Wananchi akisema, "Haipendezi changamoto inatatuliwa, ukija tena changamoto ile ile ipo" Ameeleza hayo akiwa Kilimanjaro ambapo amezindua Barabara ya lami ya Sanya Juu - Elerai. Rais yupo Mkoani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

    Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
  12. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kutoa hela UTT changamoto CRDB

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni. Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units. Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu. Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
  13. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

    Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kufanya iwe changamoto kupata mpangaji

    ...am editing
  18. simulizi za kweli

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

    Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
  19. Bonnie99

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiafya iliimarisha ubinafsi hata katika maamuzi mazuri ya kisiasa na kiuchumi

    Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya. Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
Back
Top Bottom