Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,338
Maisha yana changamoto nyingi sana.

Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.

Nikaendelea kuishi pia na majirani wakawa wanasema maneno hayo hayo, nikawa napuuzia maneno yao.

Niliishi pale vizuri tuu ila nikawa nawekeza pesa zangu kwenye kibubu kila siku nikienda kazini nikirudi na elfu 40 basi natia 20 kwenye kibubu na nikipata 10 naweka 5. Yaani hela ndogo kuweka kwenye kibubu ni 2000 na malengo yangu nikanunue pikipiki.

Eeeh baada ya miezi nane kupita nikasema nivunje kibubu, nilichokiona kwenye kibubu nilikuta 27000 tu.

Sikupiga mahesabu wakati naweka ila nilichokuwa nategemea hata nikute hata milioni moja, yaani sitasahau halafu mzee alipogundua kuwa nimemstukia kuwa yeye ni chuma ulete akanitumia barua nihame kodi yangu ikiisha.

Kweli nilikua siamini kama kuna chuma ulete kuanzia hapo, nikaamini maana walikua wanaishi na mkewe na hawana kazi yoyote na wanakula milo yote mitatu tena saafi.

Sitakaa nisahau yule mzee alinirudisha nyuma sanaaa". G Man, Dar.

WatuNiStory

www.safariforums.epizy.com
 
Sasa kwann nae ukuweka kwenye voda Mpewa au tigo Kibubu.
Bado unaweka kwenye mambo ya kizamani hayo.Bank wanapokea kuanzia sh 50 unahangaika na mambo ya visanduku.
 
Kumbuka bank kubwa zingine hukata kila baada ya muda fulani na pia kuna kilinda account hivyo ukitoa hutatoa hela zote.
 
Maisha yana changamoto nyingi sana.

Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.

Nikaendelea kuishi pia na majirani wakawa wanasema maneno hayo hayo, nikawa napuuzia maneno yao.

Niliishi pale vizuri tuu ila nikawa nawekeza pesa zangu kwenye kibubu kila siku nikienda kazini nikirudi na elfu 40 basi natia 20 kwenye kibubu na nikipata 10 naweka 5. Yaani hela ndogo kuweka kwenye kibubu ni 2000 na malengo yangu nikanunue pikipiki.

Eeeh baada ya miezi nane kupita nikasema nivunje kibubu, nilichokiona kwenye kibubu nilikuta 27000 tu.

Sikupiga mahesabu wakati naweka ila nilichokuwa nategemea hata nikute hata milioni moja, yaani sitasahau halafu mzee alipogundua kuwa nimemstukia kuwa yeye ni chuma ulete akanitumia barua nihame kodi yangu ikiisha.

Kweli nilikua siamini kama kuna chuma ulete kuanzia hapo, nikaamini maana walikua wanaishi na mkewe na hawana kazi yoyote na wanakula milo yote mitatu tena saafi.

Sitakaa nisahau yule mzee alinirudisha nyuma sanaaa". G Man, Dar.

WatuNiStory

www.safariforums.epizy.com
Kuna ndugu yangu alihamia nyumba flani iko tegeta wazo, wakati anahamia kuna mtu jirani alimfuata akamwambia we dada hiyo nyumba watu hawakai mwenye nayo ni balaa.
Yeye kwakuwa alikuwa kalipa kodi akaona hawezi acha kodi yake.
Siku ya kwanza kalala fresh asubuhi mwenye nyumba kaja ni mama flani wa kipemba.
Na alipokuja akanikuta nimekuja salimia, akawa anamuuliza huyo ndugu yangu. Vipi umelala vizuri bila tatizo. Akajibiwa ndiyo. Akarudia bila tatizo kabisa, akajibiwa ndio.
Ndugu yangu hakutafakari yale maswali, ila mimi niliyatafakari sana.
Nikawa najiuliza huyu mama alitegemea apatwe tatizo au.
Aliendelea kukaa na wakahamia wengine, wakawa wapangaji watatu.
Kilichowakuta hawawezi kusahau.
 
Walikutwa na nini? Shea story
 
sasa nafaka story gani hii unaleta alafu unatuacha njiani

ebu malizia, ni kitu gani kiliwakuta hawawezi sahau...
 
Sasa nimehamia mtaa wa saba, toka pale nilipokuwa nikikaa zamaniiiii....

Hii nyumba sio nyumba, ilikuwa na mikosi oooh...
 
Back
Top Bottom