Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba nzuri ya kuishi.

Baba yao wakina Rashid aliwaambia urithi atakao Walachia ni elimu kwani haamini kama watoto wake wanakuja kuwa wakulima. Shamba lao lilikua na ghala kubwa na kulima walilima kwa trekta. Kwa majirani walionekana maisha wameyapatia lakini nyumbani baba yao aliwaambia wana safari ndefu na alikua nyuma yao katika kila kinacho husu elimu.

Rashid alisoma uhandisi Makerere na baba yake akimgharamia kwa kila kitu. Aliomba kazi ya uhabdisi na siku ya interview alikutana na Liz, head wa HR. Alibahatika kupata kazi na wazazi wake walimpa pesa ya kujikimu ilimtosha kukaa hotelni Kariakoo wakati anausoma mji. Kwa mara ya kwanza Rashid anaingia Dar ilikuwa ni kwaajili ya usaili.

Siku moja akiwa amemaliza kazi anaelekea kupanda basi la Kariakoo, Liz alikua nyuma yake na Q7 yake, alimuashiria Rashid aingie ndani, alimuuliza anaelekea wapi, Liz alimwambia ata mdrop Kariakoo. Wakiwa njiani gari ya Liz ilizima, ilibidi wa park pembeni watafute fundi magari, watu wa garage ya Audi walikuja na kurekrbisha mambo. Baada ya pale Liz alimwambia Rashi ni kheri wapate chakula baada ya siku ndefu. Walikwenda kwenye hoteli ya nyota nne.

Liz ni mama wa 45 na Rashid ni kijana mwenye miaka 28. Walikula bila Rashid kufahamu, Liz alikuwa na stress nyingi za kazi akiwa Head wa HR. Alipiga chupa mbili za wine akazima. Rashid hakujua afanye nini. Aliongea na wahudumu walimpatia chumba navwakimsaidia kumbeba Liz mpaka chumbani. Rashi alikaa na Liz mpaka anashtuka, ilikua ni saa nane usiku, Liz aliona aibu sana.

Wali endelea kupiga stori na Liz alimshjkuru Rashi kwa wema wake. Rashid aliondoka usiku ule. Liz katika kutoa shukran kwa Rashid walijujuta wamekua wapenzi. Rashid na Liz walionekana kila mahali pamoja. Ingawa Liz alikua na nyumba yake, hakuwa na mume wala mtoto. Rashid hakutaka kukaa na Liz, alipata nyumba ya chumba kimoja Sinza.

Dada yake Rashi alipata kazi Dar pia, huyu ni daktari bingwa na ndiye dada mkubwa mwenye miaka 34, alipofika Dar Rashid alimpokea dada yake na katika story alimfahamisha kuwa ana girl friend. Dada yake amlimchana Rashid yaani unapoteza muda na mama wa miska 45 badala ya kutafuta binti utakae anza nae maisha na kujenga familia. Saidi alishtuka usingizini kwa mara ya kwanza anagundua kuanza familia na Liz inaweza isiwezekane, miaka 45 hana mtoto!

Kumuacha Liz haikuwa rahisi, Rashid alikuwa ana mfeel yule aunt na hata Liz alishamwambia akiwa tayari kuoa amueleze mapema, Rashid anamwambia nitakuoa wewe. Wifi daktari hataki hata kumuona Liz na mdogo wake ndiyo mapenzi yamefika Uhuru Peak.
 
Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na
Kumuacha Liz haikuwa rahisi, Rashid alikuwa ana mfeel yule aunt na hata Liz alishamwambia akiwa tayari kuoa amueleze mapema, Rashid anamwambia nitakuoa wewe. Wifi daktari hataki hata kumuona Liz na mdogo wake ndiyo mapenzi yamefika Uhuru Peak.
 
Aliyesoma yote aseme tofauti ya umri wa wapenzi ulikuwa miaka mingapi na walipata matatizo gani?
Kumuacha Liz haikuwa rahisi, Rashid alikuwa ana mfeel yule aunt na hata Liz alishamwambia akiwa tayari kuoa amueleze mapema, Rashid anamwambia nitakuoa wewe. Wifi daktari hataki hata kumuona Liz na mdogo wake ndiyo mapenzi yamefika Uhuru Peak.
 
Sasa mbona kama umeishia njiani, nini hatma ya wahusika wakuu, hizo 'changamoto nyingi' zi wapi?
 
Liz ni wewe, acha kumbemenda mtoto wa watu, ila mapenzi hayana umri kuna wadada wanavutia hata wakizeeka,rais wa ufaransa na mkewe wamepishana miaka mingi sana
 
Liz
IMG-20220606-WA0240.jpg
 
Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba nzuri ya kuishi.

Baba yao wakina Rashid aliwaambia urithi atakao Walachia ni elimu kwani haamini kama watoto wake wanakuja kuwa wakulima. Shamba lao lilikua na ghala kubwa na kulima walilima kwa trekta. Kwa majirani walionekana maisha wameyapatia lakini nyumbani baba yao aliwaambia wana safari ndefu na alikua nyuma yao katika kila kinacho husu elimu.

Rashid alisoma uhandisi Makerere na baba yake akimgharamia kwa kila kitu. Aliomba kazi ya uhabdisi na siku ya interview alikutana na Liz, head wa HR. Alibahatika kupata kazi na wazazi wake walimpa pesa ya kujikimu ilimtosha kukaa hotelni Kariakoo wakati anausoma mji. Kwa mara ya kwanza Rashid anaingia Dar ilikuwa ni kwaajili ya usaili.

Siku moja akiwa amemaliza kazi anaelekea kupanda basi la Kariakoo, Liz alikua nyuma yake na Q7 yake, alimuashiria Rashid aingie ndani, alimuuliza anaelekea wapi, Liz alimwambia ata mdrop Kariakoo. Wakiwa njiani gari ya Liz ilizima, ilibidi wa park pembeni watafute fundi magari, watu wa garage ya Audi walikuja na kurekrbisha mambo. Baada ya pale Liz alimwambia Rashi ni kheri wapate chakula baada ya siku ndefu. Walikwenda kwenye hoteli ya nyota nne.

Liz ni mama wa 45 na Rashid ni kijana mwenye miaka 28. Walikula bila Rashid kufahamu, Liz alikuwa na stress nyingi za kazi akiwa Head wa HR. Alipiga chupa mbili za wine akazima. Rashid hakujua afanye nini. Aliongea na wahudumu walimpatia chumba navwakimsaidia kumbeba Liz mpaka chumbani. Rashi alikaa na Liz mpaka anashtuka, ilikua ni saa nane usiku, Liz aliona aibu sana.

Wali endelea kupiga stori na Liz alimshjkuru Rashi kwa wema wake. Rashid aliondoka usiku ule. Liz katika kutoa shukran kwa Rashid walijujuta wamekua wapenzi. Rashid na Liz walionekana kila mahali pamoja. Ingawa Liz alikua na nyumba yake, hakuwa na mume wala mtoto. Rashid hakutaka kukaa na Liz, alipata nyumba ya chumba kimoja Sinza.

Dada yake Rashi alipata kazi Dar pia, huyu ni daktari bingwa na ndiye dada mkubwa mwenye miaka 34, alipofika Dar Rashid alimpokea dada yake na katika story alimfahamisha kuwa ana girl friend. Dada yake amlimchana Rashid yaani unapoteza muda na mama wa miska 45 badala ya kutafuta binti utakae anza nae maisha na kujenga familia. Saidi alishtuka usingizini kwa mara ya kwanza anagundua kuanza familia na Liz inaweza isiwezekane, miaka 45 hana mtoto!

Kumuacha Liz haikuwa rahisi, Rashid alikuwa ana mfeel yule aunt na hata Liz alishamwambia akiwa tayari kuoa amueleze mapema, Rashid anamwambia nitakuoa wewe. Wifi daktari hataki hata kumuona Liz na mdogo wake ndiyo mapenzi yamefika Uhuru Peak.

Ndo imeishia hapa?
 
Huyo wifi Dr ni kivuruge tu
 
Back
Top Bottom