Design ya Sebule kuwa Chini halafu Vyumbani na Sehemu ya Chakula kuwa Juu

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Mazingira tu ya hali ya hewa, vyumba vikiwa juu hewa na ubaridi unapatikana. Alafu kuigana tu wakati mwingine bila sababu.
Ahsante Mkuu.., lakini je, kuna Vipimo ambavyo vinashauriwa ili angalau hizo Ngazi zisiwe na madhara kwa Watumiaji hususani Watoto?
Nb: hii bado fashion ya Kisasa kwa Wakati tulionao?
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,701

Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watu
 
Mkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)
Ushauri wako ni wa Msingi na umezingatia weledi!!!
 
Ni kweli kuna nyumba wote ni walevi na asilimia kubwa ya uharibifu wao huwa sababu ya ulevi wao, wanapoteza funguo hivyo vitasa vinapadilishwa mara kwa mara, kuvunja vioo, koki za bomba, flash tank nk nk yaani mpaka unaona aibu ww unayeenda kurekebisa.
 
Unazungumzia nyumba ya ghorofa au?
Hapana Mkuu.., namaanisha hizi nyumba za kawaida ila ile ground floor pale sebuleni unakuwa unashuka Ngazi na ukielekea Vyumbani au dining unakuwa unapanda ngazi, kiasi ukiwa umekaa sebuleni unakuwa Chini na wale waliokaa dining wanakuwa Juu!!!
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Ni kweli kuna nyumba wote ni walevi na asilimia kubwa ya uharibifu wao huwa sababu ya ulevi wao, wanapoteza funguo hivyo vitasa vinapadilishwa mara kwa mara, kuvunja vioo, koki za bomba, flash tank nk nk yaani mpaka unaona aibu ww unayeenda kurekebisa.
Kabisa Mkuu..,
Changamoto kubwa nyingine ni kwa hawa Watoto wa mwaka mmoja hadi Mitatu hivi, yani kwenye Michezo yao ya Kukimbizana haichukui muda unaona wametanguliza na Vilio Juu huyu anavuja damu, mwingine kabeba jino kwenye Mkono basi inakuwa tafrani tupu!!!
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,701
2,000
Kabisa Mkuu..,
Changamoto kubwa nyingine ni kwa hawa Watoto wa mwaka mmoja hadi Mitatu hivi, yani kwenye Michezo yao ya Kukimbizana haichukui muda unaona wametanguliza na Vilio Juu huyu anavuja damu, mwingine kabeba jino kwenye Mkono basi inakuwa tafrani tupu!!!
Kabisa mkuu na hivi tunawaacha na ma house girl basi shida tupu ?

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
762
1,000
Picha ilikuwa inahusika sana hapa

photo_2021-05-25_18-16-15.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom