Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza.
Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo?
Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya.
Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo.
Mbaya zaidi ni huduma ya...
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania ukitaka kuamini hayo muulize hata SHIMBA YA BUYENZE au ngosha wa mwanza
Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina yake ukiliwa na mboga za asili...
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.
Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu.....
Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi jioni saa kumina moja sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaani hapiki tena huja nacho...
Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani.
Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi...
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula.
Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora
Ripoti ya UNICEF imesema majanga mbalimbali ikiwemo ghasia, mlipuko wa COVID-19 na mabadiliko ya Tabia Nchi yamekwamisha Maendeleo ya...
Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo.
Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco
Mawasiliano 0622723082.
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia.
Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo.
Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili.
Uza simu.
Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti.
Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.
Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia.
2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa.
3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
Sina mengi wakuu nawasalimu.
Hii misosi ya mama nitilie ni kwa ajili ya maskini.
Mabenchi machafu
Viti vimevunjika
Meza chafu, inzi wakutosha
Msosi sometimes unanuka moshi
Wahudumu wachafu
Customer care iko chini
Kula kwa mama nitilie ni umaskini au labda ukumbwe na dharuura.
Mchele...
Hili ni kundi la watu muhim sana katika jamii kwani ukamilisha maitaji ya wafanya kazi wengi wawapo kazini bila kwenda majumbani kwao kwa kuwapatia chakula, maji na maitaji mengine kisha kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.
Swali ni kwamba je unawajua watu hawa muhim sana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.