Nahitaji wadada wawili wa kuhudumia (ku-serve) chakula Bar

Chimulenge

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
218
147
Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar.

Awe mwenye muonekano maridadi.
Awe mzoefu na kazi.
Awe mchapa kazi.

Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele

Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082

Kazi inaanza kesho
 
Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kusave chakula kwenye bar.

Awe mwenye muonekano maridadi.
Awe mzoefu na kazi.
Awe mchapa kazi.

Kazi ipo Dodoma, wakazi wa dodoma watapewa kipaumbele

Mshahara maelewano kwa aliyetayari tuwasiliane 0622723082 kazi inaanza kesho
Cc Erythrocyte changamkia tenda ili uwe busy
 
Mm wakishaanza kazi ntakuja kupata kinywaji hapo niwatest ubora wao
Karibu sana

IMG20210608173416.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom