chakula

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  3. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Mambo ya Assassination of Archduke Ferdinand yanaenda kujirudia Tena ..Just mark my words. Nunueni chakula Kwa wingi wekeni ndani. Mtakuja kunikumbuka
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maarifa ni chakula cha akili

    Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema...
  7. babayao255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Food Aid: Wakati Tanzania ina cha kutosha, Kenya imepokea chakula cha msaada kutoka China

    Ni aibu sana nchi kutembeza bakuli karne hii ya 21 kuomba chakula cha msaada. Tanzania tujivunie uchapakazi wetu kwenye kilimo. ======= Kenya Holds Takeover Ceremony of Chinese Food Aid Program Kenya on Monday held takeover ceremony of the eighth and last batch of 2018 Chinese Food Aid...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani kosa langu lipi hapa

    Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi, Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Takriban 40% ya Wakazi wa Tigray wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo ikielezwa zaidi ya 80% ya Familia hazina uhakika wa chakula, hali inayopelekea Watoto chini ya miaka mitano kuwa na Utapiamlo. Mashirika ya Misaada yamekuwa yakipata changamoto kufikisha mahitaji Mkoa wa Tigray ambapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mbute: chakula kinachotokana na mihogo

    Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa. Maandalizi ya mbute Mbute hutokana na zao la muhogo ambapo humenywa na kuanikwa kwa muda halafu huvunda kwa muda. Baadaye huchukuliwa na...
  12. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Ummy Dolly, mlimbwende ambaye chakula chake ni mende

    Baadhi ya wadudu hutajwa kuwa chakula bora chenye protini na kilicho chenye ladha nzuri katika jamii mbalimbali. Takriban spishi 20,000 za wadudu huliwa na mataifa kama ya Asia, Amerika Kusini na hata sehemu zingine za Afrika. Nchini Tanzania, kuna jamii ambazo kula wadudu kama senene, panzi...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

    Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Biblia haijasema asiyefanya kazi asile, Imeandilwa Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Habari! Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika. Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meza ya kulia chakula inapendeza jikoni au kwenye mgahawa

    Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
  17. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  18. markp

    JamiiForums Tanzania CHAKULA ULICHOPIKA MWENYEWE UNAPOSHINDWA KUKILA AU KUKITUPA

    Ilikuwa jambo rahisi sana kumkamta mh Mbowe kwakuwa jeshi la polisi ni mali ya ccm bila shaka. Ikawa rahisi pia kuchagua kesi ya kuanzisha ambayo ni ya ugaidi na uhujumu uchumi. Tatizo linalowakabili sasa ni kuwa walijipanga kumsumbua na kumtesa tu mbowe ili wengine waogope na mwisho...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie mavazi harusini

    Yaani watu hawavai kwa adabu harusini, why? Itungwe sheria kudhibiti mavazi ya ovyo. Inatutoa kwenye udhu
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula adimu katika sherehe, sababu ni nini?

    Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali. Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
Back
Top Bottom