Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,199
6,890
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.

Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu miaka si chini ya 20.

Sisi kama taifa tunaelekea wapi katika malezi, huyu kijana niliye mshuhudia leo alikuwa amejazia kifua, kachora tatoo kila mahali kavaa nguo zimebana miguu kama skin tight za wadada, au ndio ule msemo unaosema kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake.

Vijana wa sasa mnatuabisha wazee wa zamani, nikiweka kumbukumbu sawa kwa miaka yetu hali haikuwa hivi, mambo yalikuwa tofouti sana vijana wa sasa wanatumia muda mwingi katika kioo (kujipodoa) na gym (kutengeneza mwili) badala ya kutumia muda huo kutafuta pesa.

Vijana wa sasa mnatuangusha sana sisi wazee, mbadilike.
 
Mkuu naona umeshapiga ramli hapo . Wewe ulijuaje ni wapenzi? What if ni mtu na mzazi wake? Bongo bana!
 
Kwa kipindi hiki n kawaida kumkuta binti mzuri kabisa anatembeza uji,matunda au mboga mboga na kijana mwenye nguvu zake kabisa hawezi hata kufanya baadhi kazi kwa kujitoa angali elimu Hana kwa kuhofia kushushwa cheo.,anaona Bora ashinde kituo Cha bajaji&boda kusubiri deiwaka na akikosa ndo basi siku imepita atashindwa kuchangamkia ZALI kama hilo MKUU!!😁😁..miaka inavyozidi kwenda pesa naona inahamia kwa wanawake maana nowdays wamekua wapambanaji kutuzidi na wengi wao pesa yao inafanyiwa mambo muhimu(FUTURE PLANS)
 
Kwa hali hii Yesu arudi mapema..
 
Ukifanya kazi ngumu unazeeka mapema na kwa kuchakaa kwa mwili wako mademu watasema hawataki wanuka jasho

Usimlaumu jamaa huenda machale yalimcheza mapema
 
Ila maandiko yanasema utakula kwa jasho lako, inakuaje hawa wanageuka maandiko..
 
Maisha magumu broo mtu anaona bora atafute sehemu ya kuegemea maana mujini bila connection tuansota wengi,maisha ni kuchagua yye kachagua hivyo
 
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.

Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu miaka si chini ya 20.

Sisi kama taifa tunaelekea wapi katika malezi, huyu kijana niliye mshuhudia leo alikuwa amejazia kifua, kachora tatoo kila mahali kavaa nguo zimebana miguu kama skin tight za wadada, au ndio ule msemo unaosema kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake.

Vijana wa sasa mnatuabisha wazee wa zamani, nikiweka kumbukumbu sawa kwa miaka yetu hali haikuwa hivi, mambo yalikuwa tofouti sana vijana wa sasa wanatumia muda mwingi katika kioo (kujipodoa) na gym (kutengeneza mwili) badala ya kutumia muda huo kutafuta pesa.

Vijana wa sasa mnatuangusha sana sisi wazee, mbadilike.
Hata hapo katumia nguvu na akili Kama Una bisha jaribu we we, kumsokota mtu mpaka akatoa hela ni akili na kumridhusha ni nguvu, kijana katumia akili na nguvu kutafuta pesa.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.

Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu miaka si chini ya 20.

Sisi kama taifa tunaelekea wapi katika malezi, huyu kijana niliye mshuhudia leo alikuwa amejazia kifua, kachora tatoo kila mahali kavaa nguo zimebana miguu kama skin tight za wadada, au ndio ule msemo unaosema kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake.

Vijana wa sasa mnatuabisha wazee wa zamani, nikiweka kumbukumbu sawa kwa miaka yetu hali haikuwa hivi, mambo yalikuwa tofouti sana vijana wa sasa wanatumia muda mwingi katika kioo (kujipodoa) na gym (kutengeneza mwili) badala ya kutumia muda huo kutafuta pesa.

Vijana wa sasa mnatuangusha sana sisi wazee, mbadilike.
Angalia hii video utapata jibu

Back
Top Bottom