chakula

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chapati za mihogo ni chakula kizuri kwa afya pia kwa uchumi

    Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu. Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya kuchemsha au viazi vya kuchemsha na chai. Kwa kuwabadilishia tu unaweza kufanya hivi. Chemsha mihogo mpaka...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN: Takriban watu Milioni wakabiliwa na upungufu wa chakula nchini Kenya

    Idadi hii inatajwa kuongezeka kutoka zaidi ya watu milioni tatu mwaka jana huku zaidi ya watoto 900,000 walio chini ya umri wa miaka mitano wamegundulika kuwa na utapiamlo. Inaelezwa kuwa sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini-mashariki, inakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana viwango vya chini...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba China imesababisha mgogoro wa chakula duniani?

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Juni 07: Siku ya Usalama wa Chakula Duniani (World Food Safety Day)

    Chakula salama ni miongoni mwa vichocheo muhimu vya Afya njema. Vyakula visivyo salama ni chanzo cha magonjwa mengi. Kila mmoja wetu wajibu katika kuhakikisha usalama wa Chakula katika hatua zote za mnyororo wa thamani, kuanzia kinapozalishwa hadi kinapomfikia mlaji wa mwisho Mbali na madhara...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aihakikishia Afrika kuilinda kwa Chakula na Mbolea. Asema Russia na Afrika ni marafiki wa Kufa na Kupona!

    Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi. Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea kupata nafaka na mbolea kutoka Russia Leo ni siku ya 100 tokea vita ya Russia na Ukraine ianze Source...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Chad yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa chakula

    Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa (UN) umeonya kuwa watu Milioni 5.5 katika Taifa hilo watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2022...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Sijapenda Rais Putin kuruhusu usafirishaji chakula kutoka bandari za Ukraine

    Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

    Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa. Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Unachukua hatua gani kuhakikisha chakula unachokula ni salama?

    Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sasa rukhsa Meli kubeba chakula kutoka bandari za Ukraine zilizotekwa

    Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

    MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA! Anaandika Robert Heriel. Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Sudan yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula mwaka 2022

    Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo. Mchumi wa Sudan Bw...
  14. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

    Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi. Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kupiga chabo kulipelekea kuona tukio la mke kumloga mme wake kupitia chakula

    Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii. Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
  16. Magheahealthcare

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya magonjwa ya mfumo wa uzazi, kisukari, moyo, mifupa, na mmengonyo wa chakula

    Magheahealthcare Dar es Salaam Ilala. Cantact +255 678 211 747 WhatsApp +256 733 482 038 Call/Massage
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

    Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact. Back in days...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
Back
Top Bottom