Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo

Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza maisha mwaka huu wasipopata matibabu

Hali ya Maisha Nchini Sudan imeendelea kuzorota kwa kasi tangu Mapinduzi ya Kijeshi ya Oktoba 2021 yalipopelekea Uchumi ambao tayari ulikuwa chini kuzidi kuporomoka

=======

More than 30 percent of Sudan’s people are currently facing a food crisis because of the compounding affects of climate shocks, political turmoil, and rising global food prices.

A joint report by the United Nation’s World Food Programme (WFP) and the Food and Agriculture Organization said 15 million people face acute food insecurity across all of the East African country’s 18 provinces.

Acute food insecurity is defined as occurring “when a person’s inability to consume adequate food puts their lives or livelihoods in immediate danger”.

“The combined effects of conflict, climate shocks, economic and political crises, rising costs and poor harvests are pushing millions of people deeper into hunger and poverty,” said Eddie Rowe, WFP’s representative in Sudan.

Living conditions rapidly deteriorated across cash-strapped Sudan since an October military coup sent an already fragile economy into free-fall, with the Russian invasion of Ukraine compounding the economic pain.
 
Back
Top Bottom