chakula

  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
  5. yoteyametimia

    JamiiForums Tanzania Maproduza tuleteeni Come Dine With Me Tanzania

    Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174. Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani...
  6. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Chakula cha kuku bei juu masoko yapo chini. Tunafanyaje?

    Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunategemea mashamba ya Serikali, wengi tungekufa njaa

    Ndugu zangu, Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa ubunifu, na utendaji duni wa taasisi nyingi. Umeme ni kitendawili, hili najua wengi mmeliongelea...
  8. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Namhifadhi kulala pamoja na chakula lakini ni mvivu kwenda kwenye vibarua. Nifanye nini?

    Za kwenu! Nipo mkoa fulani kikazi. Na nina ndugu yangu, mtoto wa Shangazi amekuja huku kikazi na nimempokea kama ndugu yangu. Namhifadhi kulala pamoja na kula. Kinachonikera kwake ni uvivu. Vibarua vipo sio haba endapo ukiwa na bidii, na huko kwenye vibarua anaweza kwenda na akapata chakula...
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaupiga mwingi, ameenda kuzindua maghala ya kisasa ya kuhifadhi chakula

    Uzinduzi wa maghala ya chakula si suluhishi ya kutatua matatizo yanayokumba nchi hivi sasa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ndiyo kitu pekee mama ambacho hivi sasa angekaa na viongozi wake nini wafanye kwa wananchi ili kupunguza ukali wa maisha. Changamoto ya umeme na maji imekuwa shida...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Yusuph alimwambia mtawala wa Misri wajenge maghala ya chakula, Bashe anamwambia Rais wauze chakula

    Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge maghala ili tutunze chakula. Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi. Baadae atamwambia tena...
  12. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Nchi hana huruma kwa raia wa hali ya chini? Hali ya Chakula nchini ni mbaya

    Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22. Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000. Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu. Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
  14. Kategele

    JamiiForums Tanzania Huduma ya chakula Gronecy Kasulu mnafeli sana.

    Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo. Jirekebisheni Restaurant kubwa kama...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Afrika tunahitaji chakula kuliko Demokrasia

    Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza. Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza. Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana wauza chakula wanaoleta utaalamu wa afya kwenye menu yangu

    Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege. Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa. Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula...
  18. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  19. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe mbaya zaidi kuliko wakati wowote katika Historia ya Wanadamu,kwa hiyo ni lazima tujiandae. Kwa wenye...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Chakula Duniani, uhakika wa chakula bora upoje kwako? 'Leave NO ONE behind'

    October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi. Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
Back
Top Bottom