Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
781
799
Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ?

Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu .
Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija kweli ?

Tumeanza kupokea misaada na Mikopo miaka mingi sana hizi pesa zinafanya nini au nyingi huishia mifukoni mwa mafisadi ?

Mi nadhani ni Either Tubane Matumizi tuachane na kukopa na misaada au Tukope lakini kila Mkopo lazima upitiwe na ujadiliwe bungeni Live .

Lakini pia mikopo ichukuliwe kwa Miradi maalumu na hili liwe Wazi ,ukiniambia tumepata msaada au tumekopa trioni 5 tunaenda Jenga kiwanda cha kufua Chuma baada ya miezi mitano kikaanza fanya Kazi tutakuelewa .

Kwa kifupi hii kopa kopa inanufaisha zaidi Mafisadi kuliko Nchi watanzania tuipinge na ziwekwe sheria kali kwenye Pesa za misaada na mikopo .​
 
Umeibua mada ya msingi sana. Lakini ngoja nikuambie kile ninachofahamu kuhusu mikopo na makusanya yetu ya ndani. Tuna madeni ambayo yalikopwa tangu 1961, yaani tangu ipate Uhuru na madeni hayo hadi leo hayajamalizwa kulipwa, kila Rais ajaye anayarithi na yeye hukopa ya kwake. Sasa shida iko wapi?

Shida ni kwamba pesa tunayokusanya hivyo Tril. 2 kwa mwezi sio yote tunakwenda kuiweka kwenye miradi ya maendeleo, bali pesa hiyo inakwenda ku-service deni. Yaani tunakopa huku tunalipa. Ni ngumu sana kuchomoka. Ndo maana licha ya kwamba tunakusanya fedha nyingi sana, lakini kila mwezi huwa Serikali inalipa madeni na fedha hizohizo na ndio maana huwa bajeti yetu haikidhi mahitaji yetu hadi tuongezewe na wahisani.
 
Tatizo ni kwamba mnakopa pesa Nyingi hampeleki kwenye miradi ya Kuzalisha pesa nyingine mnakula na kulipa mishahara .
 
Tunalipa na Bado deni linaongezeka ,kama kwa Mwaka tunakopa trilion 8 na hakionekani tulichofanya ina maana pesa nyingi zinapotea Tu ,Trilioni 8 ni pesa unayoweza fanya kitu/mradi kikaonekana lakini sio kwa Tanzania .
 
Tatizo ni kwamba mnakopa pesa Nyingi hampeleki kwenye miradi ya Kuzalisha pesa nyingine mnakula na kulipa mishahara .
Unakopa pesa nyingi hafu asimilia kubwa zinaishia kwenye matumizi ya kawaida .
 
Back
Top Bottom