October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi.
Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza kupata ruzuku yuan 100 hadi 200 (sawa na dola 14 hadi 28 za kimarekani) kwa mwezi kulingana na hali...
Duh sikujua jamaa wapo hadi nchi maskini kama Burkina, walivamia na kuua madereva na wafanya kazi wa msafara wa chakula uliokua unasafiri kwenda kusaidia vijiji vyenye njaa...
The ambush, claimed by Al-Qaeda, officially killed 37 people, including 27 soldiers.
But 70 truck drivers remain...
Sumu ya chakula (Food poisoning) ni tatizo linalosababishwa na ulaji wa chakula kichafu kilichobeba vimelea vya magonjwa hasa bakteria na virusi, au sumu zake.
Vimelea hivi pamoja na sumu zake huathiri mfumo wa chakula kwenye sehemu za utumbo mkubwa na mdogo kisha kusababisha Maumivu makali ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini kuhusu usimamizi wa Usalama wa Chakula kurejeshwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA), ili kurahisisha utendaji
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Aloyce Kamamba, amesema Wizara ya Afya na Wizara ya...
Na Taban J
Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
Wale wanao milki migahawa njiani huwalipa Madreva pesa ya Breki, maana yake Dereva akiingiza Basi pale hata nusu ya abilia wasipo kula yeye pesa yake iko pale pale na kumbuka kuna abiria wagumu ana shuka anaenda washroom akitoka hapo anarudi kwenye basi hanunui kitu na pia kuna abiria wana...
Salamu!
Mada inajieleza,
Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato.
Nadhani nimeeleweka!
Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula
TUESDAY SEPTEMBER 20 2022
Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda kufanyika nchini humo.
By Mustafa Mtupa
Doha, Qatar. Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar...
Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League.
United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma.
Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii.
Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki.
Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
Kulingana na tafiti za kisayansi zinasema, jinsi wanadamu tunavyoonekana ni kwa sababu ya chakula tunachokula kila siku.
Tangu kuwepo kwa dunia mwanadamu amekuwa anategemea chakula ili aweze kuishi. Ulimwengu umeghubikwa na wimbi la shughuli nyingi mchana na usiku ili kutafuta chakula kwa ajili...
Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri.
Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa na Afya Njema hata Kwa kumtazama tu?
Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine.
Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji.
Four trucks carrying food relief and three minibuses were set ablaze. Authorities said al-Shabab has been intensifying attacks in...
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku...
Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo.
Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA.
UTANGULIZI
UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena.
---
Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.