chakula

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki chakula cha Jioni (Africa Food Prize - Gala Dinner) - Ikulu

    https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni waliohudhuria mkutano wa AGRF leo tarehe 07 Septemba, 2023 katika viwannja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  5. mhula

    JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Biriyani: Chakula kitamu lakini adimu

    Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila. Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ. Mghahawa upo pembezoni mwa barabara inayoelekea Airport. Nafikiri unamilikiwa na Mhindi. Lakini...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  13. malisak

    JamiiForums Tanzania Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Vumbi la dagaa chakula cha mifugo

    Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo. NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI. 0755213580. BEI INABADILIKA KUTOKANA NA SIKU HIVYO UNAWEZA NIPIGIA SIMU. Mkoani tunatuma haraka.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tunaamka asubuhi kila siku tunakula chakula kinachopikwa kwa mkaa na kuni is a Terrible.Ni uharibifu mkubwa wa mazingira

    Weekend ikiwa inaishia nawasalim. Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
  16. Yofav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

    Habari wakuu, As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva. Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Unajua Chakula Kitamu ambacho Watanzania Wengi Hawatakipenda?

    ...... basi ni hiki hapa
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chakula hasa (Main Dish) kati ya starch au protein?

    Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi. Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk kisha unachagua escort " kama chips, ugali, wali nk.. Ukienda Uswahili ukiuliza chakula...
  19. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

Back
Top Bottom