Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea.

Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye bar au hotel wanapokutana viumbe hawa wa Mungu.

Najiuliza hii chuki mwisho wake nini?
 
Upo coco beach unauliza baharini wapi?

Haya siyo CCM tu, vyama mpaka maofisi yote, watu wamekuwa hawaamini kabisa. Uchawi mwingi.

Tanzania hii mpaka mtu na mkewe hawaaminiani,Kuna limbwata.

Mimi nyumbani kwangu sikunali kupikiwa na mtu, chakula changu au nipike mwenyewe au wanangu tu.

Sijuwi dD wa kazi sijuwi shoga kaja nimkaribishe jikoni. Hakuna kabisa hayo. Kwanza mgeni wangu, awe rafiki, shoga au kanitemebelea tu mpaka afike jikoni ni kwa sababu zipi?

Tanzania hii tunachekeana tukionana uso kwa uso tu, kulishana sumu na uchafu ni robo dakika tu.
 
Una uswahili mwingi sana,poor you
 
Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea.

Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye bar au hotel wanapokutana viumbe hawa wa Mungu.

Najiuliza hii chuki mwisho wake nini?

Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea.

Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye bar au hotel wanapokutana viumbe hawa wa Mungu.

Najiuliza hii chuki mwisho wake nini?
waulize chadema watakwambia
 
Watu ambao hawana kazi nyingine zaidi ya kupiga domo ili waishi unategemea watakuwa na roho za aina gani?Wanapigiana hesabu za kupunguzana idadi yao ili wabaki wachache kadiri iwezekanavyo ili wafaidi wizi,unyang'anyi na starehe nyingine bila bugudha.
 
Tunaongea tu hapa Ila ukiingia kwenye siasa ukawa na msimamo utatafutiwa Kila hila wakumalize, Kama sio sumu watakutengenezea hata zengwe la rushwa au lolote la kukuharibia. Mbaya zaidi wanamtumia mtu aliye karibu nawe.
 
Wakikualika kwenye makutaniko yao Usithubutu kuacha maji/chakula mezani ili ukapokee simu.Beba pure/makande yako hata kwenye kopo la blueband ule polepole.Usiwaamini jamaa zako.
Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa siasa, labla nianzie ufipani then nkamalizie lumumbani ili kuona utofauti wao wa uchawi.
 
Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea.

Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye bar au hotel wanapokutana viumbe hawa wa Mungu.

Najiuliza hii chuki mwisho wake nini?
Mtafiti mwenye majibu ya kina ni yule Mwalimu wa Fitina
 
Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa siasa, labla nianzie ufipani then nkamalizie lumumbani ili kuona utofauti wao wa uchawi.
Chukua ushauri huo.Ukijisogeza watajidai kukutia moyo ugombee hata ujumbe wa moja ya kamati kumbe unavutwa tartiiibuuu utupiwe akhera ukajipumzikie.
 
Tamaa ya vyeo, uhasama, husda na visasi. Anayekitaka cheo chako anakushughulikia either direct or indirect.
 
Hivi wewe unaweza kuacha chakula au kinywaji sehemu watu wengine wapi,halafu uende urudi uendelee na matumizi kweli?
Kama ni jasusi au umepita military camp angalau jkt usingeweza kuandika hoja kama hiii
 
Back
Top Bottom