chakula

  1. proton pump

    JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa wakati chakula kimezuiliwa kuwafikia

    Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
  4. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao. Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tusikatae chakula tu, tuikatae pia misaada na mikopo ya fedha kutoka kwa wazungu

    Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  8. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Responded Mtoto wako (aliye shule ya kutwa) anapata chakula shuleni? Kwa kiwango gani mzazi/mlezi unahusika katika kufanikisha hilo?

    Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha huduma muhimu ya chakula na lishe inapatikana kwa Wanafunzi wa elimu ya msingi. Kulingana na Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa Huduma ya Chakula na Lishe kwa Elimumsingi, wazazi na Wadau wanatakiwa kuchangia vitu mbalimbali ikiwemo; Chakula Mafuta...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji. Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima. Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani. Chini ya...
  11. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutoa pesa ya mchango kwaajili ya huduma ya chakula cha mchana shuleni kwa mwanao?

    Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako. Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa...
  12. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Video: Diamond Platnumz na Harmonize wakipata chakula kwa pamoja

    If puss and dog can get together, Why can't we love one another? -Bob Marley
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan na Marekani waambiwa wasifanye utani na maisha ya watu. Wadondosha vifurushi vichache vya chakula bila maji

    Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo. Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kwa style hii ya mafisa wetu mpango wa chakula shule za msingi ni kizungumkuti

    Habari ndugu wazazi wenzangu! Jana nilifanikiwa kuhudhuria kikao cha wazazi pale ugindoni primary iliyopi kigamboni! Kikao kiliitishwa na maafisa wafuatao kutoka manispaa; 1. Afisa Maendeleo ya Jamii 2. Afisa Lishe 3. Afisa mmoja kutoka ofisi ya takukuru (w) Walitueleza vyema umhimu wa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Sehemu anapopata chakula mtoto wako akiwa shuleni pana hali gani?

    Wakuu kwema? Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto. Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani? Kuna shule ukiona...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wapalestina wafanyia HAMAS fujo, baada ya HAMAS kupiga risasi kijana aliyekua anang'ang'ania chakula

    Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu wanaongea na kutoa matamko kisha wanarudi ndani kwenye shughuli zao za kujenga mataifa yao. Hata waswahili...
  20. Sexer

    JamiiForums Tanzania Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
Back
Top Bottom