chakula

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  4. malisak

    JamiiForums Tanzania Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Vumbi la dagaa chakula cha mifugo

    Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo. NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI. 0755213580. BEI INABADILIKA KUTOKANA NA SIKU HIVYO UNAWEZA NIPIGIA SIMU. Mkoani tunatuma haraka.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tunaamka asubuhi kila siku tunakula chakula kinachopikwa kwa mkaa na kuni is a Terrible.Ni uharibifu mkubwa wa mazingira

    Weekend ikiwa inaishia nawasalim. Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
  7. Yofav

    JamiiForums Tanzania Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

    Habari wakuu, As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva. Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Unajua Chakula Kitamu ambacho Watanzania Wengi Hawatakipenda?

    ...... basi ni hiki hapa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kipi ni chakula hasa (Main Dish) kati ya starch au protein?

    Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi. Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk kisha unachagua escort " kama chips, ugali, wali nk.. Ukienda Uswahili ukiuliza chakula...
  10. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  14. D

    JamiiForums Tanzania DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi

    DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi Na Deodatus Balile, Los Angeles, California, USA Hapa Los Angeles kuna tofauti ya saa 10 na Dar es Salaam. Sasa hivi wakati naandika makala hii ni saa 8:30 usiku, wakati huko Tanzania ni saa 6:30 mchana. Najikuta usingizi unakwisha mapema kwa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

    Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine. Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje inakwepa majukumu yake na ni uonevu mkubwa kwa wakulima

    Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika). Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  18. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi. Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao. Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Back
Top Bottom