Mate kuruka kwasababu ya chakula kitamu

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa.

Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku namjibu ,nikiendelea kula huku nikimwambia karibu!! Karibu!! kumwambia karibu!! Karibu!!

Niliweka sahani moja tu sikutaka kuonesha na mtenga ili tule pamoja afurahi bwana wewe katika kuongea ongea kuna tu mate tuliluka achana na Yale mate ya MTU ambaye akiongea lazima yaruke aya yanarukaga mar moja tu ayarudii tena dah nimehaibika yalivyoruka nikastop kumkaribisha mana aliona yameruka basi nikaamua tu nifakamie msosi peke angu.
 
Pole dear
 
Back
Top Bottom