Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote
CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja
CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo...
Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
Salaam za Eid El Fitri!
Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa.
Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka inayotambuliwa na katiba ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania, hizi Gubu,chuki na roho mbaya zenu ni kelele...
Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake.
Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.
Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.
Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo...
#MUHAMBWE
KIGOMA
Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe
Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani...
Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
Ni wazi kuwa sakata la uvunjifu wa katiba Bungeni linamkera sana Mheshimiwa Rais mama Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Tatizo ni kuwa kama Rais hapendi aonekane kuwa anaingilia mihimili mingine ya nchi kwa kutoa kauli, maana kauli ya Rais ni kama sheria.
Spika Ndugai analijua hilo na...
Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea tutakua na imani na Wakurugenzi wale kusimamia Uchaguzi 2025?
Maana tumeshaambiwa katiba mpya si...
Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu.
Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za...
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao.
Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
Natoa tu angalizo kwamba hili taifa la Wamachinga limetengenezwa na ilani ya CCM huku Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakishindana kutoa kwa wingi Vitambulisho vya Mjasiriamali.
Ghafla tena Wakuu wa Wilaya wale wale wanaanza kuwakana wamachinga kwamba wanafanya biashara barabarani na maeneo...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu.
CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza. CCM ya sasa haina watekaji. Haina mafisadi Hii ndio tuliokuwa tunaitaka.
Shime makamanda wa kike na...
Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam. Kwa uungwana huo aliouonyesha kujali makundi mbalimbali na kupata mawazo, kero, ushauri ninatabiri...
Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi.
Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
Wanajamvi Salaam,
Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT.
Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi.
Leo...
Habari ndugu zanguni,
Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya.
Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.