MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Habari ndugu zanguni,

Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya.

Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya mama sababu wanaamini yanaenda tofauti na misingi iliyojengwa na Mwendazake, lakini wamesahau kuwa kila Rais ana namna ya uendeshaje wake wa nchi.

Nilichokiona Mama na Mwendazake ni vitu viwili tofauti kabisa.Ssa kama tulicheza ngoma kama Mataga inatakiwa tukubali kucheza ngoma ya Asilia maana wamerudisha kijiti chao.

TUWE WATULIVU NA TUACHE KAZI IENDELEE.
 
2059.gif

Fungua Nchi Mama ili tuende kwenye Fainali Istanbul.
 
Watulie sindano iingie. Tangu juzi wanabweka humu mitandaoni. Oooh kenya hivi, oooh Kenya vile. Mitano tena na kazi iendeleee!
Hakuna kipindi nafurahia sana ninapo waona mataga wakitokwa na mapovu kutwa mzima.

Hakika Mungu wala siyo Athumani maana walifikia wakadhani hii nchi ni mali yao na sasa kibao kimegeuka wanaanza kumwaga povu.
 
Back
Top Bottom