CCM kurudi enzi za kuficha share zao hadi wafike kwenye ukumbi?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,947
2,000
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,594

Ndio tunaelekea, japo at least ndio tupo.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
3,106

Kama watarejea kwenye,utu,nakuikumbatia haki ni bora hata ifike mahali nguo wakavalie ukumbini .
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,473
2,000
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
Usiseme kuwa wanaCCM hawana furaha, sema genge la marehemu lililokuwa linanufaika na udikteta, halina furaha.

Huku mtaani wanaCCM wengi, meno nje kwa furaha.

Marehemu alianzisha genge lake, akalitumbukiza ndani ya CCM, wanaCCM wakatupwa nje. Hakuna mwanaCCM asilia aliyekuwa akifurahia vitendo vya kikatili vya marehemu.

Bashiru na Polepole, ambao kwa asili yao, siyo wanaCCM, wakapewa chama na marehemu, kwa nia ya kuwakomoa wanaCCM.

CCM inarudi kwa wenye nayo. Genge la marehemu wanaweza kuanzusha chama chama chao, wakitaka. La sivyo, wasahau kukaa katikati ya CCM. Watabakia wanazunguka uani, lakini chumbani, hapana.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,354

Mkimzingua ataunda chama chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,048
2,000
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
Tutavaa baada ya Mama kuondoka.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,813
2,000
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
Mimi ni rasmi sipo timu ya rais samia.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.

Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.

Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.

Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.

Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?
MIMI CCM ILA MWAMBIENI SABAYA ABEBE MZIGO WAKE ASISINGIZIE MAMA SAMIA KUSHINDA MITANDAONI
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,947
2,000
Usiseme kuwa wanaCCM hawana furaha, sema genge la marehemu lililokuwa linanufaika na udikteta, halina furaha.

Huku mtaani wanaCCM wengi, meno nje kwa furaha.

Marehemu alianzisha genge lake, akalitumbukiza ndani ya CCM, wanaCCM wakatupwa nje. Hakuna mwanaCCM asilia aliyekuwa akifurahia vitendo vya kikatili vya marehemu.

Bashiru na Polepole, ambao kwa asili yao, siyo wanaCCM, wakapewa chama na marehemu, kwa nia ya kuwakomoa wanaCCM.

CCM inarudi kwa wenye nayo. Genge la marehemu wanaweza kuanzusha chama chama chao, wakitaka. La sivyo, wasahau kukaa katikati ya CCM. Watabakia wanazunguka uani, lakini chumbani, hapana.
CCM asilia unayo isema hapa ilishakufa zamani.

Ukiwa kijana Mdogo unaweza ukaamini Sana maneno ya Mtaani lakini ukweli ni kwamba ccm ilikufa tangu 2008 kwenye issue za ufisadi.

JPM alikuja kuiinua upya kulingiana na wasifu wake. Kabla ya kuingia madarakani ccm walikuwa hawavai nguo hadi wafike kwenye ukumbi.. hao hao ccm asilia Ndio walikuwa wanazomewa.

Subiri kidogo utaniwelewa.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
3,106
2,000
CCM asilia unayo isema hapa ilishakufa zamani.

Ukiwa kijana Mdogo unaweza ukaamini Sana maneno ya Mtaani lakini ukweli ni kwamba ccm ilikufa tangu 2008 kwenye issue za ufisadi.

JPM alikuja kuiinua upya kulingiana na wasifu wake. Kabla ya kuingia madarakani ccm walikuwa hawavai nguo hadi wafike kwenye ukumbi.. hao hao ccm asilia Ndio walikuwa wanazomewa.

Subiri kidogo utaniwelewa.
Kwa aibu mlililo litia Taifa letu,hata zile nguo zenu,zinatupa kinyaa wengine,tena yafaa mumshukuru mwenyekiti wenu mpya kwani anawabeba kwa sifa yake,ya kupenda haki na uelekeo wa kurejesha democrasia,ila hata msivae hiyo minguo yenu bado,Hadi aibu muliyojijengea iweze kufutwa kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom