ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

    Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi. Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa...
  2. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Mbashara: Mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM Taifa mkoani Dar Es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam. Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam. MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia: Musukuma usiaminishe wanafunzi kuwa elimu ya darasa la 7 ni bora kuliko elimu ya juu

    Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi kuboresha shule kwa ajili yao na hivyo ni muhimu kuwahamasisha kusoma kuliko kuwakatisha tamaa. Naibu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wabunge wanavyolalamika kuna haja ya kuiangalia kwa makini Ilani ya CCM, yawezekana imejaa janja janja

    Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali. Natoa rai kwa wananchi tulioichagua CCM kwa kishindo kikuu tuipitie kwa makini Ilani ya uchaguzi hasa katika maeneo...
  6. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Chondechonde viongozi wa Serikali muwe na maelewano

    CHONDECHONDE VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM, MUWE NA MAELEWANO. Natumaini wanaJF mko wazima kabisa. Leo baada ya wengi wenu kunipigia simu na kunisihi niseme neno kuhusu haya mambo ya viongozi wa serikali wanaotokana na Chama kilichobeba matumaini ya watanzania, CCM, kukwaruzana wao kwa wao kama...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

    Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam. Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni mwana CCM yupi hakuonja ubaya wa Katiba tuliyo nayo?

    Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM anaangalia na kupigania kwanza maslahi na uhai wa chama cha mapinduzi kabla kitu kingine chochote...
  11. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo kufanya mkutano na Waandishi wa Habari

    Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CCM watangaza kumshtaki Zitto kwa kuwadhalilisha

    Baada ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa wa Kigoma, Kajoro Vyohoroka amesema wanasubiria matokeo yatangazwe wafungue jalada mahakamani la kudhalilishwa na kiongozi huyo. "Sisi kwenye kampeni tulikuwa na magari 48 katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  15. mkalamo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya wanavyotaka. Tusipeane moyo wala maini

    Huo ndio ukweli. CCM wanafanya wanavyotaka inavyoonekana kwa sasa wapinzani wamekaa kimya wakiangalia ni kwa jinsi gani CCM wanavyopapatuana, na yote haya ni kutaka kuudanganya umma kuwa sasa CCM na serikali yao wanafanya kweli katika kulijenga Taifa mwisho wa siku wanarudi palepale bora...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Iweje CCM hawakuwapo katika maziko ya Abbas Sykes?

    IWEJE CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAKUPO KATIKA MAZIKO YA ABBAS SYKES? Hukaa mara nyingi sana nikajiuliza na si katika kujipigia tarumbeta bali ni katika kufikiri kuwa ingekuwaje kama Kleist Sykes asingeandika historia ya maisha yake kabla ya kufariki kwake mwaka wa 1949. Mzee Kleist katika mswada...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya unahitaji RC Mwenye uzoefu , hawa Makada wa ccm mnaowaleta kuja kujifunza kazi hawana uwezo wa kubadili chochote

    Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
Back
Top Bottom