ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tubashiri: Msigwa atapata uteuzi gani CCM, for sure kuna nafasi ameahidiwa kumbuka alishasema Magufuli alimuahidi Uwaziri

    Moderators naomba msifute uzi huu. Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
  2. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

    Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mwanasiasa aliyerushiwa mishale mingi na "makamanda" akapambana ndani ya upinzani huku wale waliokuwa wakijifanya makamanda wakienda CCM

    Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM 1. Petrobas Katambi 2. Lijualikali 3. Silinde 3. Peneza 4. Mashinji 5. Peter Msigwa Wengine wakasaliti chama waziwazi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuja kwa Msigwa CCM tayari teuzi inamuhusu

    msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+ amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa. sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi tofauti za wanasiasa wanaohamia CHADEMA kutoka CCM na wale wanaohamia CCM kutoka CHADEMA, CHADEMA kuna shida gani ?

    Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa 1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali . 2.CCM huchukua na kupokea watu...
  7. Djob Nkondo

    JamiiForums Tanzania Je lengo la Msigwa kutumkia CCM Ni kumfuata muhasimu wake bwana Mbilinyi??

    Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa Joseph mbilinyi aliibuka na ushindi wa 51% na mgombea mwenza mheshimiwa Mchungaji Msigwa aliibuka na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

    Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan Pia soma: Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu Alizaliwa Juni 8...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Juni 30, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024. CCM Imara Vitendo Vina Sauti Tunaendelea na Mama Kazi Iendelee
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania hivi ni vituo ambavyo vina magenge ya CCM kimkakati kulinda watawala

    Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha Osterbay na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa mwanachama wa CCM mwenye vigezo vya kuwa kiongozi mkubwa, utaratibu ukoje?

    Habari wakuu! Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina connection yoyote, naomba mwenye connection please!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Will this happen in Tanganyika under the CCM party? Labuda.

  15. Paul Alex

    JamiiForums Tanzania System iingilie kati nchi isonge, CCM imepasuka na tukicheza waliojigawa + upinzani wataharubu nchi!

    Salaam! Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini. Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama.. Matendo yao na maneno yao yako wazi sana! Na nyuma ya picha inaonekana Kuna muunganiko. Mama hawezi...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

    Kwanza, Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa? Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi huingilia kati kuisadia CCM kama alivyofanya huyu refarii

    Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi. Watu wanaoheshimika wenye hadhi ya ujaji, hufanya mambo ya hovyo yanayowaaibisha ili mradi tu CCM ishinde uchaguzi. Kuzuia utoaji...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Tumesikia yanayotokea Kenya, CCM tuna la kujifunza

    Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaojiunga na UVCCM wakiwa vyuoni badilikeni, acheni uchawa

    Viajana wengi wana mawazo ya CCM iwasaidie sio wao waisaidie CCM, ndio maana unakuta wanajiunga wengi na akibaatika kupata nafasi atapiga hela, yaani hata ngazi za chini wanaiba hata hela ya kadi. Anawaza kuwa nikimaliza nitaajiriwa au connection ya ajira nitaipata kupitia chama. Hana mchango...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM msipoteze muda wa Tanzania hatuwezi kuwa kama China!

    Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha China. Yaani tunataka kufuata uratatibu wa demokrasia kama nchi lakini chama bado kina fikra potovu ya...
Back
Top Bottom