Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani.
Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995.
Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale zisizoambatana na utekelezaji.
Nawaona CCM kama genge la watu wanaotumia fursa ya kuwa na dola kujishika madarakani na kuendelea kufaidi kupitia unyonge, ujinga na umaskini wa watanzania.
Naiona CCM kama mlundikano wa wajinga waliojipenyeza kwenye madaraka kwa upendeleo na kufanikiwa kushika dola na nafasi nyeti za nchi yetu bila kuwa na weledi stahiki na wanatumia nafasi hiyo kujinufaisha na kuwanufaisha wapendwa wao.
Nimekuwa nachukizwa mno na ubabaishaji wa CCM katika masuala ya maendeleo ya nchi yetu
Najua CCM ndio chanzo cha matatizo ya nchi yetu na pia ndiye mchawi wa maendeleo yetu kwa maana halisi
Kila wakati nimehamasisha watu kutoipigia kura yoyote CCM wala kuiunga mkono serikali ya CCM.
Ninaona waziwazi uzembe, uvivu, ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM kwa namna ambayo nawaona watanzania wengi kama misukule tu kwa kuendelea kuikubali CCM ilhali inachangia katika kuongeza umaskini wa watanzania.
Sioni kwanini CCM wabaki madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa wakati hali ya uchumi bado ni mbaya. Najua Ulaya na Amerika tunapoomba misaada kila siku, chama hakikai madarakani kwa zaidi ya miaka 8, kitawekwa kiingine.
50% ya watanzania wangekuwa kama mimi CCM wangeshaondoka zamani na tungekuwa mbali sana kiuchumi nchi hii.