CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

Ndonoman

Member
Feb 21, 2024
8
15
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo vingi vya habari ili kuonesha wema wa serikali na CCM ili kuwadanganya wao waone Serikali na CCM wanafanya vyema na kisha wawachague.

CCM huzunguka vijijini kuwadanganya wananchi wa huko kuwa wakiwachagua vyama pinzani kutakuwa na vita mara hawatapelekewa maendeleo, wanatumia ujinga wao wa kutokuwa na taarifa sahihi kuwalisha taarifa za uongo zenye manufaa na wao.

Wananchi wote inabidi tujitahidi kwa ambao tuna ndugu vijijini tuweze kuwafumbua macho ndugu zetu waache kulaghaiwa na CCM.
 
Ungetumia akili vizuri usingeandika ulichoandika ila kwa kuwa umeitumia vibaya ndio maana umeandika hiki
Usichokijua ni Kwamba ni rahisi sana kuwadanganya watu wa Mjini kuliko wa Vijijini 😄

Kama unabisha muulize Halima Mdee wa Kawe na Ahadi za baba askofu Dr.Gwajima kwa Wapigakura wake Akina Pascal Mayala
 
Kura za mjini Wala hatuzipati kwa ujanjaujanja Bali tunazipata kwa haki. Ndio maana tunataka tume huru ya uchaguzi maana hatuna shaka na kura zetu. Nyie mbaki na hizo za hao wajinga huko vijijini.
Akikusikia mbunge wa viti Maalum Chadema Halima Mdee atakucheka sana 😀🔥
 
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo vingi vya habari ili kuonesha wema wa serikali na CCM ili kuwadanganya wao waone Serikali na CCM wanafanya vyema na kisha wawachague.

CCM huzunguka vijijini kuwadanganya wananchi wa huko kuwa wakiwachagua vyama pinzani kutakuwa na vita mara hawatapelekewa maendeleo, wanatumia ujinga wao wa kutokuwa na taarifa sahihi kuwalisha taarifa za uongo zenye manufaa na wao.

Wananchi wote inabidi tujitahidi kwa ambao tuna ndugu vijijini tuweze kuwafumbua macho ndugu zetu waache kulaghaiwa na CCM.
IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
ccm kushinda ni vitu vikubwa viwili;
1. Wizi wa kura kupitia hasa walio Ma-DED, mapolisi na usalama.
2. mambumbumbu wachache wasio na nyuma wala mbele hasa walio vijijini
 
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo vingi vya habari ili kuonesha wema wa serikali na CCM ili kuwadanganya wao waone Serikali na CCM wanafanya vyema na kisha wawachague.

CCM huzunguka vijijini kuwadanganya wananchi wa huko kuwa wakiwachagua vyama pinzani kutakuwa na vita mara hawatapelekewa maendeleo, wanatumia ujinga wao wa kutokuwa na taarifa sahihi kuwalisha taarifa za uongo zenye manufaa na wao.

Wananchi wote inabidi tujitahidi kwa ambao tuna ndugu vijijini tuweze kuwafumbua macho ndugu zetu waache kulaghaiwa na CCM.
SIKU HIZI WAJINGA WAPO MPAKA MIJINI MACHAWA WAMEFURIKA KILA KONA TAIFA LINAJENGWA NA WAJINGA
 
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo vingi vya habari ili kuonesha wema wa serikali na CCM ili kuwadanganya wao waone Serikali na CCM wanafanya vyema na kisha wawachague.

CCM huzunguka vijijini kuwadanganya wananchi wa huko kuwa wakiwachagua vyama pinzani kutakuwa na vita mara hawatapelekewa maendeleo, wanatumia ujinga wao wa kutokuwa na taarifa sahihi kuwalisha taarifa za uongo zenye manufaa na wao.

Wananchi wote inabidi tujitahidi kwa ambao tuna ndugu vijijini tuweze kuwafumbua macho ndugu zetu waache kulaghaiwa na CCM.
CCM inapiga kote
 
Lucas mwashambwa ni mfano halisi
 
Unajionyesha jinsi ulivyo MJINGA Chadema haina Mbunge anaitwa Halima Mdee wa viti maalumu na ukweli unaujua ila ujinga umekujaa
Wewe ndio Mjinga ambaye hata huoni Mwenyekiti wa Chadema Dr Freeman Mbowe akiwatambulisha Wabunge wa viti Maalum Chadema Halima na Esther kwa baba askofu Dr Shoo Kule KKKT Moshi 😀😀🔥
 
Huko mavijijini tuwape miaka 100 mbele mpaka hiki kizazi kitoweke kizaliwe kipya ndo kitafumbua macho, kwa sasa watazidi kupewa kanga, kofia na matisheti
 
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.

Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo vingi vya habari ili kuonesha wema wa serikali na CCM ili kuwadanganya wao waone Serikali na CCM wanafanya vyema na kisha wawachague.

CCM huzunguka vijijini kuwadanganya wananchi wa huko kuwa wakiwachagua vyama pinzani kutakuwa na vita mara hawatapelekewa maendeleo, wanatumia ujinga wao wa kutokuwa na taarifa sahihi kuwalisha taarifa za uongo zenye manufaa na wao.

Wananchi wote inabidi tujitahidi kwa ambao tuna ndugu vijijini tuweze kuwafumbua macho ndugu zetu waache kulaghaiwa na CCM.
Kizazi cha 'NYOKA'
 
INASHANGAZA SANA, CCM NA CHADEMA, CHAMA KIPI KINATUMIA WAJINGA WAKE KUJINUFAISHA / KUNUFAISHA VIONGOZI WABINAFSI KUTWA KUJIJENGEA MAHEKALU HUKU NYUMBU ZAO ZIKIKODOA MACHO ?
 
Back
Top Bottom