Haijawahi kutokea, Jina Magufuli kununua kila madhambi ya wana CCM? Nchi iliyozoelea umasikini na aibu itajikwamuaje?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,943
4,132
Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi!

Miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati ikiwapo mradi wa SGR, JKNHP, ujenzi wa Meri katika maziwa yetu yote, ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima, mageuzi makubwa na upanuzi wa bandari zetu zote, daraja la busisi linalopitisha mazao na madini mengi kutoka kanda ya ziwa, kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini, ukuta wa Mererrani, uhamasishaji wa kujengwa viwanda, miundombinu mingi ya kimkakati ya kulipunguzia foleni jiji la Dar ikiwapo Flyover na Barabara ya njia nane kutoka Ubungo hadi kibaha na hata Chalinze, kuwabana mafisadi, kuwabana wazembe maofisini, kupiga vita rushwa kwa vitendo, kuwaambukiza watanzania katika kufanya kazi na kujituma, ilitosha kuamwamini kwamba, nchi itasonga!

Ndiyo, ilikuwa ni miradi mingi kiasi kwamba, kiongozi yeyote asiyekuwa jasiri na mwenye kusimamia kwa dhati matumizi ya kodi zetu, asingeliweza kufanya hivyo, kwa sababu wengi wa watakaoendelea kuferi maisha na kuwa masikini, ni wale waoga wenye kuona hatari tu katika safari ya mipango yao na kisha kusitisha,

Mtu jasiri hukubaliana na changamoto zozote zitakazo jitokeza mbele ya safari yake na jwamba, atapambana na atashinda, na si mwingine, huyo alikuwa JPM tu na ni vigumu kumpata mtu kama huyu tena

Kulichopo kwa sasa, ni sawa na kuukubali ule umasikini wetu tulikuwa tumeuzoea miaka ile ya wala bata,

Kwa sasa ukiniuliza, kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa CCM, na inaonekana, NI KUMKANDIA UBAYA NA MADHAMBI YOTE YA CCM, HAYAYI JPM, leo ngano inauzwa 40000 kutoka 28000??

Hayo yanayosemwa ya uchaguzi kuharibiwa, ni maneno ambayo pengine yanawafaa vijana waliozaliwa 2000 hivi, nasikia hawana kumbukumbu kwa sababu ya lishe!

Nani asiyejua, mpaka sasa hakuna hata uchaguzi mmoja uliohusisha vyama vingi ambao CCM hawakucheza rafu?
 
Ni ukweli mchungu ambao hawawezi kuukubali waliozoea kuliibia taifa.

Angalau kipindi cha JPM hata mtoto kutoka Kazulamimba au Sangamwalugesha huko angeweza kuukwaa ukuu wa wilaya au mkoa au nafasi yoyote ya juu bila kuwa na connection yoyote. Leo hii kama ni mtoto wa masikini usitegemee kuajiriwa katika sekta nyeti.

Wanakandia kwasababu wanaamini hii nchi bila wao na familia zao haiwezi kusonga wakati wanaiibia na kuiacha mifupa mitupu.
 
Ndiyo, ilikuwa ni miradi mingi kiasi kwamba, kiongozi yeyote asiyekuwa jasiri asingeliweza kufanya hivyo, kwa sababu wengi wa watakaoendelea kuferi maisha na kuwa masikini, ni wale waoga wenye kuona hatari tu katika safari ya mipango yao na kisha kusitisha,

Acha uongo
 
Ccm wote ni wezi hakuna cha huyu wala Yule.
 
Mwenyezi Mungu atawaumbua wanafiki wote!
 
Hasafishiki hata kwa detol.
Hii ni sawa kabisa mkuu, silaumu chochote kutoka kwako, kwa sababu, licha kwamba wewe ni msafi na mwadirifu, bado kuna wasiokupenda wala kukubaliana na wewe

Na wewe unatimiza tu kile ambacho kipo kwa wengine wasiokukubali wewe licha ya wewe kuwa mwema na msafi
 
Humo kuna kambi shida ndo ipo hapo,,,,shida sio CCM shida kambi ndani ya CCM kambi ya wazuri hawafi na kambi ya JPM wanaowaita Sukuma Gang
Hakika!! Na kimsingi hiyo yote ni dalili ya anguko!!

Wazuri hawafi Wana hofu na nguvu ya JPM kumng'oa Mtalii 2025!! Wanadhani wataliangusha kundi linalomwamini JPM kumbe wanajidanganya
 
Ni ukweli mchungu ambao hawawezi kuukubali waliozoea kuliibia taifa.

Angalau kipindi cha JPM hata mtoto kutoka Kazulamimba au Sangamwalugesha huko angeweza kuukwaa ukuu wa wilaya au mkoa au nafasi yoyote ya juu bila kuwa na connection yoyote. Leo hii kama ni mtoto wa masikini usitegemee kuajiriwa katika sekta nyeti.

Wanakandia kwasababu wanaamini hii nchi bila wao na familia zao haiwezi kusonga wakati wanaiibia na kuiacha mifupa mitupu.
Na hakuna kipindi kibovu Cha wimbi la Wizi kuwahi kutokea kama hiki cha huyu Mzanzibar.

Ndo maana wenzetu waislamu wanaepuka sana kuwapa uongozi viumbe hawa. Tunaibiwa mno
 
Hakika!! Na kimsingi hiyo yote ni dalili ya anguko!!

Wazuri hawafi Wana hofu na nguvu ya JPM kumng'oa Mtalii 2025!! Wanadhani wataliangusha kundi linalomwamini JPM kumbe wanajidanganya
Na hadi 2025 kunaweza kukawa na maturubai mengi,,hii vita ni serious
 
Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi!

Miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati ikiwapo mradi wa SGR, JKNHP, ujenzi wa Meri katika maziwa yetu yote, ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima, mageuzi makubwa na upanuzi wa bandari zetu zote, daraja la busisi linalopitisha mazao na madini mengi kutoka kanda ya ziwa, kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini, ukuta wa Mererrani, uhamasishaji wa kujengwa viwanda, miundombinu mingi ya kimkakati ya kulipunguzia foleni jiji la Dar ikiwapo Flyover na Barabara ya njia nane kutoka Ubungo hadi kibaha na hata Chalinze, kuwabana mafisadi, kuwabana wazembe maofisini, kupiga vita rushwa kwa vitendo, kuwaambukiza watanzania katika kufanya kazi na kujituma, ilitosha kuamwamini kwamba, nchi itasonga!

Ndiyo, ilikuwa ni miradi mingi kiasi kwamba, kiongozi yeyote asiyekuwa jasiri na mwenye kusimamia kwa dhati matumizi ya kodi zetu, asingeliweza kufanya hivyo, kwa sababu wengi wa watakaoendelea kuferi maisha na kuwa masikini, ni wale waoga wenye kuona hatari tu katika safari ya mipango yao na kisha kusitisha,

Mtu jasiri hukubaliana na changamoto zozote zitakazo jitokeza mbele ya safari yake na jwamba, atapambana na atashinda, na si mwingine, huyo alikuwa JPM tu na ni vigumu kumpata mtu kama huyu tena

Kulichopo kwa sasa, ni sawa na kuukubali ule umasikini wetu tulikuwa tumeuzoea miaka ile ya wala bata,

Kwa sasa ukiniuliza, kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa CCM, na inaonekana, NI KUMKANDIA UBAYA NA MADHAMBI YOTE YA CCM, HAYAYI JPM, leo ngano inauzwa 40000 kutoka 28000??

Hayo yanayosemwa ya uchaguzi kuharibiwa, ni maneno ambayo pengine yanawafaa vijana waliozaliwa 2000 hivi, nasikia hawana kumbukumbu kwa sababu ya lishe!

Nani asiyejua, mpaka sasa hakuna hata uchaguzi mmoja uliohusisha vyama vingi ambao CCM hawakucheza rafu?
Hizi ni porojo za kijiweni kwenu.
 
Ni ukweli mchungu ambao hawawezi kuukubali waliozoea kuliibia taifa.

Angalau kipindi cha JPM hata mtoto kutoka Kazulamimba au Sangamwalugesha huko angeweza kuukwaa ukuu wa wilaya au mkoa au nafasi yoyote ya juu bila kuwa na connection yoyote. Leo hii kama ni mtoto wa masikini usitegemee kuajiriwa katika sekta nyeti.

Wanakandia kwasababu wanaamini hii nchi bila wao na familia zao haiwezi kusonga wakati wanaiibia na kuiacha mifupa mitupu.
Mfuate alipo yule mshamba mwenzio. Alipasua nchi yule shetwani. Sukuma gang mtakufa kabla ya wakti wenu
 
Back
Top Bottom