Jumuiya ya Wazazi ya CCM kumeoza

lipitimbi

New Member
Mar 5, 2024
1
0
Wakuu,

Nilipochaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa, Chama cha Mapinduzi niliamini kwamba ningetoa mchango wangu chanya kwaukuaji wa jumuiya hii. Hili sasa ni baraza langu la pili. nilichogundua uongozi wa sasa wa jumuiya hiyo umeoza.

Hauna uwezo wa kiuongozi, wala kimaono. jumuiya kwa muda sasa imegubikwa na upendeleo, matumizi mabaya ya fedha na rasilimali kidogo zilizopo, uongozi mbovu,kukosa ubunifu katika kuibua na kusimamia miradi ya kiuchumi, rushwa na unyanyasaji wa kingono.

page hii kutokea lipitimbi, kusini mwa nchi itakuwa inawaletea hatua kwa hatua mambo ya hovyo yanayofanyika katika jumuiya ya wazazi iliyopewa majukumu ya malezi na chama, lakini badala yake imekuwa ya kuharibu malezi. kisa cha kwanza kutoka lipitimbi ni namna WATUMISHI WALIVYOSHANGILIA AFISA UTUMISHI WA WAZAZI TAIFA KUONDOLEWA MAKAO MAKUU YA WAZAZI.

Usiache kusoma ukurasa huu.

UPDATES
WATUMISHI WASHANGILIA AFISA UTUMISHI KUTOLEWA WAZAZI MAKAO MAKUU
Dada huyu kwa sababu ya mahusiano yake kingono na katibu mkuu wazazi alipoajiriwatu akapewa majukumu ya mkuu wa idara. yeye akiwa ofisa akawa ndiyo kama mkuu wa idara. ingawa wakuu wote wa idara wako Dodoma, lkn mkuu wa idara ya utumishi ameachwa dar ili kupisha afisa huyu. kutokana na hilo, afisa utuishi amekuwa na kiburi kwa watumishi wilayani na mikoani akiwatukana kama watoto tena hadharani na kuwatishia kuwa anaweza kuwafanya chochote na hawana pa kwenda. ana uwezo wa kumfokea hata mkuu wake wa idara.
dada huyu japo ni mke wa mtu lakini anatumia muda mwingi nyumbani kwa katibu mkuu ambaye anaishi peke yake maana amegoma kumleta mke wake Dodoma. dada huyu ndiye husafisha ofisi ya katibu mkuu, kumtengea chai na chakula ingawaje mtunza ofisi yupo, katibu myeka yupo na PS yupo. ndiye humfulia katibu mkuu nguo pia. adha amekuwa na tabia ya kuwaonea wivu mkatibu wa wilaya na mikoa ambao wana mvuto ambao baadhi katibu mkuu wa wazazi ana mahusiano nao na wngine ni ukaribu wa kawaida wa kikazi,lakini yeye huwa na wivu na kuanza kuwafanyia visa makatibu hao na wanaposhitaki kwa katibu mkuu hakuna majibu anayotoa. anawadharau sana viongozi wakuu wa jumuiya yaani mwenyekiti wazazi taifa na makamo wa mwenyekiti taifa.
baada ya chama kuwakabidhi makatibu wakuu wa jumuiya nyumba mpya (shukrani kw KM Chongolo),katibu mkuu wa wazazi ameendeleakuishikwenye nyumba yake ya zamani iliyoko ILAZO. taarifa za ndani kabisa zinasema amefanya hivyo maana ni ngumu kuwa analala na afisa utumishi kwenye nyumbaya chama maana ni jirani na viongozi wengine. mfano mzee KINANA anaishi pia eneo hilo. chanzo chetu kinasema ingawa fenicha na vifaa vya ndani nyumba ya katibu mkuu vilinunuliwa na jumuiya, lakini vimenunuliwa vipya na hivyo vya ilazo amepewa CHAWA MMOJAWAPO wa katibu mkuu kati ya mwanasheria au katibu elimu.
majuzi katibu mkuu wazazi ameibiwa fedha nyingi ndani ya nyumba ya ILAZO. inasemekana ni maburungutu ambayo aliyaficha ndani akiogopa kuyapeleka benki. aliyapata kama rushwa wakati wa uchaguzi wa wazazi mwaka 2022 na mengine ni yale anayopewa kutoka mashuleni. kuna maswali hayajulikani vizuri juu ya wizi huu. je mali zilizoibwa ni zipi hasa? je tukio hilo liliripotiwa polisi? kituo gani? je meripoti kuibiwa nini?. tunahoji ikiwa ameripoti kituo cha polisi maana habari za ndani zinasema anatumia waganga wa kienyeji( wachawi) kutafuta waliomuibia.
sisi tunadhani waliomuibia ni watu wake wa karibu. kama siyo wao basi wamehusika kutengeneza njama ya wizi maana taarifa zilizotufikia ni kuwa fedha zilizoibiwa zilikuwa katika moja ya mabegi mengi na likaibiwa begi lenye fedha pekee na wei hawakuiba kitu kingine.badala ya kuhangika na wachawi tunamshauri aanze na hawa wafuatao
1. mpenzi wake, afisa utumishi
2. mwanasheria wazazi
3. katibu elimu na malezi.

PART 3 TUTAELEZA KUTOELEWANA KWA MWENYEKITI WA WAZAZI TAIFA, MAKAMO NA KATIBU MKUU KUNAVYOATHIRI MAENDELEO YA JUMUIYA.
 
Kumekucha,,naona mwegelo ykuo tayari sasa kuongea na waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom