Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais...
Kuna tangazo la ajira nimeliona Facebook, wanadai ni wakala wa kuwapeleka vijana Canada na Dubai kufanya kazi. Na kwa maelezo zaidi wamedema tutembelee www.immigroup.com. Sasa Wakuu Kuna anayewafahamu vizuri hawa watu? Naambatanisha na tangazo lao hapa chini.
Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada
...
Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada
October 10, 2021
2.4kShares
A Perfect Time to see Insight of Fully Funded...
Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus.
Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
MTOTO WA GEREZANI ANAGOMBEA UBUNGE CANADA
Originally a native of Tanzania, I immigrated to Canada settling in Ottawa where I graduated from Ridgemont High School, followed by attending the SUNY (State University of New York) Oneonta University in New York.
One of my core beliefs is the...
Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa kila aina hivyo basi nategemea once nitakavyo leta swala langu kwa ajiri ya ushauli ni furaha yangu...
Wakuu naomba kuuliza hili swahili.
Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA.
Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
Historia fupi ya alaska inaonyesha kuwa kipindi cha Urusi miaka mingi iliyopita ilikuwa sehemu ya miliki yao.
Baada mfumo mbovu wa utawala kwenye madaraka ilikuja kuuza alaska kwa Marekani na ndio mpaka leo Alaska ipo Marekani.
Miaka ya zamani kumbe watu waliuza sehemu.
Wanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania...
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo.
Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
Persecution of the Church of Jesus Christ has started with Canada.Right now as we speak,burning down of churches by anarchists across Canada with impunity is going on.
In total as we speak,45 churches are engulfed in fire or have been attacked in ongoing anti-Christian terror campaign.
It’s...
Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto.
Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee.
Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu.
Imeelezwa, wengi kati ya waliofariki dunia ni Wazee na joto lililopo katika eneo hilo limetajwa kuchangia kwenye vifo...
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya
Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na...
It has been over 400 years since the colonialism is there to be in Africa and other developing Nations of the third world countries.
In Fact we are not poor, because we feed the world with abundance of natural resources which costs billions of years that have been taken out of Africa.
They...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.