Je, unafahamu Alaska ipo Marekani lakini ipo sehemu ya Canada

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,712
Historia fupi ya alaska inaonyesha kuwa kipindi cha Urusi miaka mingi iliyopita ilikuwa sehemu ya miliki yao.

Baada mfumo mbovu wa utawala kwenye madaraka ilikuja kuuza alaska kwa Marekani na ndio mpaka leo Alaska ipo Marekani.
Miaka ya zamani kumbe watu waliuza sehemu.

IMG_8413.jpg
 
Hawakuuza kwa kupenda ni hofu ya kushindwa vita na eneo kuchukuliwa na mshindi wa vita
 
Unashangaa Alaska na Canada wakati Kuna kisiwa (Mayotte) kipo jirani kabisa na ukanda wetu huu Tanzania lakini Ni Mali ya Ufaransa wao yule jamaa aliemuoa mwalimu wake wa primary ndio rais wao ukiwa kule wewe upo ulaya
 
No wonder jina lake lenyewe limekaa kirussia

Bora ingehesabiwa tu kuwa ipo Canada halafu US waihesabie Puerto Rico kama state rasmi na siyo territory

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Hawakuuza kwa kupenda ni hofu ya kushindwa vita na eneo kuchukuliwa na mshindi wa vita
Warusi waliiuza kwa Hiari tu. Diplomasia na ushawishi wa Rais wa Marekani enzi hizo Andrew Johnson pamoja na waziri wake wa mambo ya nje Williams H Seward zilizaa matunda kwa kushawishi kiongozi wa urusi enzi hizo Czars Alexander II kukubali kumuuzia Marekani Alska 7. 4 million dollars.

Senate ya Marekani ilimpinga sana Andrew Johnson ila alisamamia hapo hapo na sasa Marekani inaona matunda yake ukiondoa steatwgy iliyogwanyishwa na Barent sea or straight Alaska kuna rasilimali tofauri nyingimafuta fesi na misitu.

Urusi inasikitika sana kuwazia Marekani Alaska. Na kama bado Alaska ingekuwa ya Urusi basi Urusi ingekuwa Ulaya, Central Asia, south east Asia na bara la Marekani.

Jimbo lingine Marekani kulinunua ni Louisiana kutoka kwa wafaransa.
 
Kuna kisiwa kinaitwa Aruba kipo Caribbean huko ila ni jimbo la uholanzi.
Aruba, Curaçao, na Sint Maarten ni dutch over sea territories Carribean. Iyo St. maarten inatembelewa sana na watalii matajiri inamilikiwa upande mmoja na Uholanzi na upande mwengine ufaransa.
 
Mrusi airudishe kibabe Alaska
Hawezi na kamwe haitatokea akili kubwa ilishainyakuwackiulaini. Atabaki tu sasa hivi kukokamaliaCrimea kwasababu ni very strategic kwasababu ya black sea. Lakini pia ni haki yake Crimea kwasababu waCrimea ni Warusi tofauti na jamii asili ya Alaska ni indigenous inuit indians.
 
Hawezi na kamwe haitatokea akili kubwa ilishainyakuwackiulaini. Atabaki tu sasa hivi kukokamaliaCrimea kwasababu ni very strategic kwasababu ya black sea. Lakini pia ni haki yake Crimea kwasababu waCrimea ni Warusi tofauti na jamii asili ya Alaska ni indigenous inuit indians.
Labda waitishe kura za maoni Alaska wachague kwahiari yao kurud Urusi.
 
Back
Top Bottom