Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Screenshot_20211212-072947_Firefox.jpg
 
Kwanini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.

Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?

Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.

Duh! Unaelewa maana ya mkutano wa watanzania waishio Canada?
 
Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Wazungu wakitufanisha waafrika na manyani maana yake ni hii, wapo sahii kabisa ,Wafrika sisi ni manyani tu.
Ona hii taka taka ya majalalani, nyani nyani kabisa.
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Akili zako hazina akili.. kama umeshindwa kuelewa mkutano balozi na watanzania waishio Canada.. ni heli ubaki tu kuwa chawa.
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.

Siku ukijua kusoma na kuelewa kinachoandikwa utapiga hatua kimaisha
 
Back
Top Bottom