canada

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Canada yaidhinisha Chanjo ya Pfizer kutumika kwa watoto wenye miaka 12-15

    Canada imeidhinisha matumizi cha Chanjo ya Pfizer katika kupambana na Virusi vya Corona kwa Watoto wenye umri kati ya miaka 12 na 15. Inakuwa Nchi ya kwanza kutoa idhini kwa walio na umri huo. Mamlaka imesema Chanjo ni salama na inafanya kazi inapotumika kwa walio na umri mdogo. Tayari Canada...
  2. babuazaboy

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa kusoma nje (US & Canada) kwa ngazi ya Masters na PhD with 100% funding? Basi hii thread inakuhusu

    Hii thread ni kwa ajili ya wana chuo au watu waliomaliza chuo kabisa na wenye ndoto ya kwenda kujiendeleza kimasomo kwa Masters na PhD. Naandika huu uzi kutokana na my personal experience. 1. Rejea kichwa cha habari, nimeandika 100% FUNDING sijasema 100% SCHOLARSHIP. In short kwa US na Canada...
  3. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku

    Barakoa Canada zakutikana na shida: zapigwa marufuku. Nukuu: "One model of mask distributed to Quebec schools and daycares may be dangerous for the lungs as they could contain a potentially toxic material, according to a directive sent out by the provincial government on Friday...
  4. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Msaada kujaza fomu za Express Canada Visa

    Mwenye uzoefu wajuvi wa kujaza hizi fomu za Express Visa Canada. Naomba anicheki. Hela ya usumbufu ipo. Anayehitaji anahitaji haraka iwezekanavyo. UPDATED: Mdau hapo chini Mung Chris amefanikisha. Suala closed.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Canada yasema chanjo ya Corona ya AstraZeneca ni salama

    Serikali ya Canada imesema Jana Alhamisi chanjo ya Astrazeneca ni salama na itaendelea kuitumia kwa wananchi wake licha ya nchi za ulaya Norway na Denmark kusitisha kuitumia kwa muda. Canada ambayo imeagiza chanjo millioni ishirini za Astrazeneca imesema raia wake waliotumia chanjo iyo...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa nawezaje kupata Scholarship ya kusoma Msc. in Civil Engineering Canada na USA

    Habari za leo wadau Great Thinkers, Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na...
  9. Sufian Jr

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Taxpayers Bill of Rights to be introduced by Hon Lissu: See model from Canada

    Hii ni ya Canada Hii kitu ni muhimu sana kutokana na maumivu waliyoyapata wafanyabiashara wa Tanzania kwa miaka mitano! Your rights as a taxpayer 1. You have the right to receive entitlements and to pay no more and no less than what is required by law. 2. You have the right to service in both...
  13. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji wa pombe walioipa jina linalomaanisha ''nywele za siri'' waomba msamaha Canada

    Watengenezaji wa pombe nchini Canada wamelazimika kuomba msamaha kwa kuipatia pombe jina ambalo katika jamii ya Maori kwa kawaida hutumiwa kutaja ''nywele za sehemu za siri''. Watengenezaji wa pombe wa kampuni ya Hell's Basement Brewery mjini Alberta walisema kuwa walitangaza kinywaji...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamfalme wa Saudi ashutumiwa kwa kutuma mamluki Canada

    Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameshutumiwa kwa kutuma mamluki nchini Canada ili kumuua aliyekuwa afisa wa ujasusi wa Saudi. Mpango huo wa kumuua Saad al-Jabri ambao haukufanikiwa ulifuata muda mfupi baada ya mauaji ya mwanahabari aliyeuawa nchini Uturuki, Jamal Khashoggi...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

    Salaam, Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Canada: Watu 16 wauawa na raia aliyevaa sare za Polisi

    Watu 16 wameuawa kwa shambulio la risasi lilifanyika mjini Nova Scotia nchini Canada. Mmoja kati ya watu walioawa ni konstebo mstaafu Heidi Stevenson Gabriel Wortman(51) amedaiwa kuwa ndiye aliyefanya shambulio hilo na kuwapumbaza askari kwa masaa mengi kwa kuwa inasemekana alikuwa amevaa kama...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada. Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

    Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada. Safari hii ya 'Wakongomani' toka Congo na nchi za Maziwa Makuu pia Afrika ya Mashariki wanaoingia Brazil bila...
  19. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

    Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran. Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
  20. General Mangi

    JamiiForums Tanzania Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

    Idara ya Ujasusi ya Marekani imeripoti kwamba, Iran imehusika na kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737-800 kwa kuangishwa kwa bomu. ===== Iran mistakenly shot down the Ukrainian plane that crashed on Wednesday near Tehran with 176 people on board, US media report. US officials say they...
Back
Top Bottom