Lema, upo Canada unaomba michango Tanzania

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,889
32,289
Wanaukumbi.

Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.

Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.

20210729_222548.jpg
 
Bila shaka Lemma atakushukuru kwa msaada na ushirikiano unaooutoa katika juhudi za kufanikisha mipango ya chama chao kupambana ili kuleta haki ndani ya nchi yetu, ikiwa ni pamoja na kueneza taarifa za chama hicho ili ziwafikie wananchi wengi zaidi.

Mageusi ndani ya nchi yetu ni yetu wenyewe, hakuna wazungu, wachina au wakenya watakaokuja kuleta mageuzi muhimu yanayotakiwa yapatikane ndani ya nchi yetu.

Kwa hiyo, ni wajibu wa kila mmoja wetu, kwa njia mbalimbali, na uwezo alionao, hata ikiwa ni kueneza taarifa tu, hiyo itakuwa ni ushiriki muhimu katika mapambano haya.

Naahidi mchango wa hali na mali kwa wapambanaji.
 
Pesa ya wazungu haiwatoshi bado tu wanataka wale ya mtanzania? Wafanye vibarua huko, vinginevyo watapasuka malinda.

Dr silaa baada ya kwenda kama mwanaume aliingia kufanya vibarua lakini wao wanataka walelewe na mafataki huko bila kazi,
wajichunge vinginevyo siku wakirudi nyuma watakua wanatoa moshi.
 
View attachment 1873410
Yaani hawa jamaa kama WATOTO WADOGO! Wao ni PESA KWANZA mengine baadae 😂😂
 
Wanaukumbi.

Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.

Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.

View attachment 1873410
kwani hamjuagi kuwa lema ni mwizi? mtumieni muone tangu lini mtu yukohuko wanakotengeneza hela na kutupa zingine huku naye ana omba huku zinakoletwa
 
Wanaukumbi.

Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.

Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.

View attachment 1873410
Haule unahangaika kuchwa nzima ya nini? unadhani unaweza kurudisha movoment zao ? achana na chadema
 
Wanaukumbi.

Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.

Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.

View attachment 1873410
Wasivyo na akili. Hao viongozi. Yaani wanataka hela ili nnchi iwekewe vikwazo.
Kwa hiyo na wanachadema watapelekwa huko ughaibuni wale watakaochangia. Au dawa itawaingia na wanachama wao.?
 
Kuwa mkimbizi sio mchezo Lema weupe wote umeisha Sasa hivi kawa mweusi tiii utafikiri wale raia wa Sudan kusini

Tundu kilichobaki no kiingereza tu mdomoni lakini kapauka
 
Wanaukumbi.

Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania.

Chadema wanatakiwa waitishe uchaguzi wa ndani wawape chama damu changa, wenye mbinu na mitazamo mipya
Chadema ya leo inwategemea wanaharakati ujanja ujanja kazi kudandia matukio.

View attachment 1873410
Tupo tayari kuunga mkono juhudi za wapiganaji wetu popote pale walipo.
 
Pesa ya wazungu haiwatoshi bado tu wanataka wale ya mtanzania? Wafanye vibarua huko, vinginevyo watapasuka malinda.

Dr silaa baada ya kwenda kama mwanaume aliingia kufanya vibarua lakini wao wanataka walelewe na mafataki huko bila kazi,
wajichunge vinginevyo siku wakirudi nyuma watakua wanatoa moshi.

Mkuu nakufananisha na Jiwe, japo sijui kama ni sifa au kashfa kwako
 
Kuwa mkimbizi sio mchezo Lema weupe wote umeisha Sasa hivi kawa mweusi tiii utafikiri wale raia wa Sudan kusini

Tundu kilichobaki no kiingereza tu mdomoni lakini kapauka

Mwanaume unawaza weupe wa Mwanaume mwenzio
Haahhah ccm noma kweli
 
Bila shaka Lemma atakushukuru kwa msaada na ushirikiano unaooutoa katika juhudi za kufanikisha mipango ya chama chao kupambana ili kuleta haki ndani ya nchi yetu, ikiwa ni pamoja na kueneza taarifa za chama hicho ili ziwafikie wananchi wengi zaidi.

Mageusi ndani ya nchi yetu ni yetu wenyewe, hakuna wazungu, wachina au wakenya watakaokuja kuleta mageuzi muhimu yanayotakiwa yapatikane ndani ya nchi yetu.

Kwa hiyo, ni wajibu wa kila mmoja wetu, kwa njia mbalimbali, na uwezo alionao, hata ikiwa ni kueneza taarifa tu, hiyo itakuwa ni ushiriki muhimu katika mapambano haya.

Naahidi mchango wa hali na mali kwa wapambanaji.
Kama mageuzi yataletwa na watanzania wenyewe, lengo la kuzunguka duniani ni lipi sasa? Nasikia bawacha wamemshtaki Samia kwa balozi wa marekani.

Duh!
 
Back
Top Bottom