Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake.
Mtoto huyo ameondoka katika...
Wakuu,
Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio.
Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.
Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA.
Na Thadei Ole Mushi.
Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha.
BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki).
Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao...
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine.
Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la Volga-Dnepr, An-124 iliwasili Canada tarehe 27 Februari 2022 ili kuleta vifaa vya kupima COVID-19 kutoka...
Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu...
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga.
Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi...
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao.
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa.
Pia Makamu Lema...
Habari wana Jamii Forums,
Leo napenda kuwashirikisha ndugu zangu ninyi mambo kadha wa kadha juu ya uhamiaji.
Najua Tanzania tuna watu wengi sana wanapenda kufanya kazi nje, pia ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu, na pia hata walioajiriwa bado hawana tofauti na wasiyo na ajira...
Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo.
Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
UPDATES:
Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.