Kutuma mzigo Canada

Abdistar

Member
Feb 26, 2019
39
26
Mambo vipi wadau

Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS.
 
Habari mkuu.

Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani?
 
Back
Top Bottom