Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe.
Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna...
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote...
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi
BUNGE limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria ya tasnia ya sukari, kwamba wasambazaji wa bidhaa hiyo ni miongoni mwa watu watakaotakiwa kusajiliwa pamoja na kupewa leseni.
Akiwasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria...
Spika wa Bunge Job Ndugai ametangaza mabadiliko ya ratiba ya shughuli za Bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa June 11, 2020 na shughuli za Bunge zitamalizika June 19, 2020 .
"Tunamaliza shughuli za Bunge June 19,2020 ambapo panapo majaliwa Rais anaweza kuja kutufungia Bunge la 11...
1. Unapoona pale Bunge linashindwa kuweka maridhiano kati ya Wabunge kwa jambo dogo, jua Spika ni tatizo!
2. Unapoona Spika anatoa maamuzi ya haraka na ya jazba ya jambo lililopaswa kupelekwa na kujadiliwa kwanza na kamati za bunge ujue ni vigumu sana kuleta umoja wa wabunge.
Bahati nzuri...
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.
Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa...
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi...
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile tunachokiita kwa Kiingereza kama "check and balances"
Hali ni tofauti sana katika nchi hii, kwa kuwa Rais...
Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi.
Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho.
Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
Wakati tukijua kilimo ni UTI wa mgongo wa uchumi wa taifa letu, leo muda huu waziri wa kilimo anawasilisha hotuba ya wizara hiyo.
Televisheni za Azam TV na Chanel Ten zinaonyesha live hotuba hiyo muhimu.
Cha ajabu, Televisheni ya taifa TBC muda huu inaonyesha vikatuni vya alfabeti vya a. e. i...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Habari waungwana,
Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa.
Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
Nimestushwa sana na kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, aliyoitoa jana kuhusiana na wabunge wa Chadema, waliofukuzwa uanachama katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema.
Spika Ndugai amenukuliwa akiwaambia wabunge hao kuwa hatambui kufukuzwa kwao uanachama na chama chao cha Chadema na hivyo...
CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za...
Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu
Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
Niwe tu mkweli katika bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni mwishoni mwa mwezi huu kupooza tunakoendelea kukushuhudia ni kutokana na kukosekana kwa wanasiasa ving'ang'anizi na wenye weledi kama Tundu Antipas Lisu.
Kiukweli pengo la Lisu kwa upinzani na kwa bunge zima halijaweza kuzibwa, ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.