Spika wa bunge la JMT ndiye mshauri mkuu wa Rais?

Spika wa bunge la JMT ndiye mshauri mkuu wa Rais?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,635
Nimesoma kidogo kuhusu kazi za bunge la JMT ambapo miongoni mwa kazi hizo ni Kutunga sheria na Kuishauri serikali.

Spika ndiye kiongozi mkuu wa bunge la JMT.

Je, Spika ndiye mshauri mkuu wa Rais kama kiongozi mkuu wa serikali?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla!
 
Back
Top Bottom