johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,888
- 141,820
Niwe tu mkweli katika bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni mwishoni mwa mwezi huu kupooza tunakoendelea kukushuhudia ni kutokana na kukosekana kwa wanasiasa ving'ang'anizi na wenye weledi kama Tundu Antipas Lisu.
Kiukweli pengo la Lisu kwa upinzani na kwa bunge zima halijaweza kuzibwa, ndio maana hata Mwambe amejirudia tu bungeni kiulaini akijua hakuna anayeweza kumtetemesha Spika Ndugai kwa hoja za kisheria.
Tundu Lisu na Zitto Kabwe ukiwaletea na Kessy wa Namanyele ni sawa na bunge zima.
Maendeleo hayana vyama!