Mambo mawili tuu
1. Inatakiwa kuhakikisha ina coronavirus Test kits za kutosha mijini na vijini
2. Inatakiwa kuhahakisha kuna stock za kutosha za Masks .
Added..
3. Inatakiwa kuhakikisha wananchi wapo salama kwa kuzua maambukizi kutoka maeneo ambayo tayari yameadhirika.. lockdown.
4...
Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa CHADEMA alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu.
Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World...
Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna.
Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote.
Fedha...
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane.
Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha.
Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia.
Source ITV habari!
Viongozi wa upinzani wnasema kwamba wanatishiwa na wanajeshi
Wanajeshi na maafisa wa polisi waliojihami nchini El Salvador wamevamia bunge , wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola milioni 109 ili kuwanunulia vifaa vya kukabiliana na uhalifu.
Waliingia katika jengo la bunge wakati rais Nayib...
Ninaenda kwenye uchaguzi Mkuu 2020 bila kujua mchango wa Mbunge wangu bungeni.
Bunge live lilisaidia wengi kutathmini japo sio kwa asilimia zote uimara wa Wabunge wetu kifikra.
Awali, aliyekuwa Waziri wa Habari alitoa tamko kuwa Bunge Live muda wa kazi linafanya watu waache kufanya kazi za...
Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja?
Zitto ameiandikia Benki ya Dunia katika nafasi yake kama Mbunge na siyo kiongozi wa chama. Hivyo Bunge lina nafasi nzuri ya kumkanusha Zitto kwa kuiandikia WB ukweli ulivyo badala...
Ndugu zangu kama mnamjua Mbunge yeyote aliyepo hatarini kiusalama kutokana na shughuli zake au anayetendewa sivyo na Bunge letu kutokana na shughuli zake Bungeni ni fursa sasa kurepoti hili:
https://www.ipu.org/contact-us
Most common violations:-
1. Undue suspension and loss of parliamentary...
Fikiria tuhuma nzito kama hii inatolewa ndani ya Bunge na Mheshimiwa Mbunge halafu ukimya unatanda. Bunge kimya, vyombo vya usalama kimya, chama husika kimya na wananchi wanaowakilishwa na huyo Mbunge kimya! Je ni woga, ujinga au ukondoo.
Watanzania hebu tutulie, tujitafakari na tujiulize kama...
Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na...
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema...
Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.
Bunge letu naliomba litoe tamko...
Bwana Job Ndugai ni Spika wa 6 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tanganyika ilipotangazwa Jamhuri mwaka 1962, Chifu Adam Sapi Mkwawa alichaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa bunge la Tanganyika.
Mwaka 1964 baada ya Muungano bunge la Tanganyika na bunge la Jamhuri ya watu wa Zanzibar...
Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake.
Hapa nina maswali mawili:
Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwa kuwa kesi za uhujumu uchumi hazina dhamana ipo haja sasa kwa wabunge na Bunge kutunga sheria ya marekebisho na kubadilisha pale ambapo itaona panafaa.
Hayo ameyabainisha leo Januari 30, 2020, Jijini Dodoma, kwenye...
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nikiwa kwenye daladala zinazoenda Mwenge nimekuta kuna mtu anamsimulia mwenzake utofauti uliopo kati ya kikao na mkutano kwenye masuala ya Kibunge. Lakini aliyekuwa akizungumza niligundua naye hanaufahamu wa kutosha juu ya dhana hizi. Hata hivyo nikiwa nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.