Cecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema.
Kadhalika Joseph Selasini na Anthony Komu kwa sasa ni wabunge wa NCCR Mageuzi japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema
Na Wilfred Lwakatare na Sabrina Sungura kwa sasa ni wabunge wa...
Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu.
Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara) Mhe. Tundu Lissu leo Jumatano, Juni 10, 2020, kuanzia saa 5 asubuhi, atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari, kwa njia ya kidigitali, kuhusu tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe.
Chanzo...
Nimemsoma Spika wa bunge na kugundua kuwa ni mtu anayekurupuka na kujiropokea tu bila hata kufikiri. Hii ni tabia mbaya sana kwa kiongozi wa Umma, ni tabia inayoweza kuibua mgogoro mkubwa bila sababu yoyote ile ya msingi.
Kiuhalisia kitendo cha Spika kupokea kijikaratasi chenye ujumbe na ghafla...
Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.
Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.
Chanzo...
Leo nilikuwa naangalia bunge live kitu cha ajabu ambacho nimekiona ni kuwa kila mbunge wa chadema akitajwa kuongea matangazo yanazimwa
But wabunge wa CCM wakiongea matangazo yanakuwa hayana shida
Sasa nakuwa najiuliza point inakuwa ni nn sasa, au hawataki wananchi wasikie mawazo mbadala...
Bunge la Tanzania leo linaendelea na shughuli zake katika Mkutano wa 19, Kikao cha 40 ambapo baadhi ya shughuli ni kupitisha maazimio mawili
Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali
Azimio la pili ni Kumpongeza...
Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
Za mida tena wakuu!
Kuna sheria ya mitandao ilitungwa kwa pupa na Bunge letu hili ili kutuziba midomo tusiripoti taarifa za kuikosoa serikali ya mtakatifu!mfalme!asiekosea! Malaika!mungu wa tz! Rais wa milele na mzalendo wa kule Chato!
Sasa kwa kuwa maji hayazuiliki kwa mikono wala huwezi...
Kama utaniuliza bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni nitalikumbuka kwa jambo gani basi nitakuambia lilijenga nidhamu miongoni mwao na wananchi kwa ujumla.
Wabunge walioadhibiwa ni pamoja na Nassari, Godbless Lema na Makamu wa Rais bunge la Afrika mh Maselle.
Viongozi waliohojiwa ni pamoja na...
BUNGE limebaini dosari katika utungaji wa sheria ndogo nchini, ikiwamo sheria inayoweka zuio kwa Mwananchi kuwa na laini ya simu zaidi ya moja
Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19...
Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona.
Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020.
THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
Mwalimu Julius K. Nyerere: 1997
So the first thing I wanted to say about Africa south of the Sahara is that you are isolated from the centres of power. Africa south of the Sahara is isolated. Africa south of the Sahara, in the world today, is on its own — totally on its own. That’s the first...
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja
Mbali ya hayo kimekuwa na...
Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
Wizara ya Mambo ya kigeni ya Ujerumani leo imemwita balozi wa Urusi kujadili uwezekano wa kuiwekea Moscow vikwazo kufuatia madai ya udukuzi ya mwaka 2015 dhidi ya bunge la Ujerumani, Bundestag.
Taarifa ya wizara hiyo imesema balozi wa Urusi amearifiwa kuwaUjerumani inalenga kuuomba Umoja wa...
Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee.
Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge
Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.
Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.