Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika.
Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai
Source ITV habari
My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
Nimeambiwa wabunge wanang'ang'ania kuingia ndani ya bunge mtu joto la mwili linasoma nyuzi joto 39 ananyimwa kuingia ndani ya ukumbi bado huelewi anatakiwa afanye nini.
Ndani ya bunge maambukizi ya Corona yanashika kasi na bado mnaendelea na bunge. Sisi tusioenda shule tunawashangaa. Hamuoni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona.
Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
Nashauri katika kupambana na ugonjwa corona, viongozi wakuu wa kitaifa kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, wawe wanavaa barakoa kila wanapojitokeza hadharani iwe ni katika mikutano na waandishi wa habari ingawa mikutano hii nayo inapaswa kuepekuwa au waendapo kusali katika nyumba...
Ni utabiri wangu tu kwamba Spika ajaye wa bunge hatatoka miongoni mwa wabunge bali atakuwa ni mwanaccm ambaye siyo mbunge ama wa kuchaguliwa au kuteuliwa.
Naibu Spika wa sasa ataendelea na nafasi hiyo endapo atamshinda mbunge machachari na mbishi mh Mbilinyi aka Sugu pale Mbeya mjini.
Pia...
Wamesikika kina Mwigulu bungeni wakiitisha taarifa za wagonjwa wa Corona kufichwa. Hii ni kwa manufaa ya nani?
Ndugu wabunge mnaoendelea na vikao hapo bungeni nyote kabisa bila kujali vyama vyenu hamuoni kuwa mnatusaliti sisi wananchi wenu? Mwalimu (RIP) alisema kwa hivi: "nyote nani ga...
Kwa sasa bunge la JMT linaendelea na vikao vya bajeti jijini Dodoma kwa mujibu wa taratibu na kanuni zake.
Napenda tu kuwapa taarifa kwa nia njema kwamba bunge zima yaani wabunge wote wa Bunge la Botswana wamewekwa katika karantini baada ya mhudumu wa bunge hilo kubainika ameambukizwa ugonjwa...
Mbali na kusababisha madhara ya kijamii ni wazi corona itaathiri uchumi wetu kwani inagusu sekta muhimu kwa uchumi wa nchi yetu ambayo ni sekta ya utalii,sekta tunayoambiwa inachangia asilimia 25 ya mapato ya nchi yetu.
Vile vile ikitokea ugonjwa unasambaa na kutulazimisha kufikia hatua ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa bado hajalipwa ‘gratuity’ (bahkshishi) yake ambayo ni asilimia 40 ya mshahara wake, tofauti na kile kinachoelezwa bungeni.
Lissu amesema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai...
Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa...
Mara nyingi sana tumewaasa watu humu jf na kwingineko kwamba usithubutu kushindana na aliyejaaliwa , utaumia !
Watu wengi wamezungumza kuhusu Corona , lakini namna Mh Mbowe alivyouchambua ugonjwa huu ni namna ya kupigiwa mfano , huyu mtu ameshindikana , huyu Mfungwa si wa kawaida .
Hakuna...
Wanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi
Hivyo hili ni...
Kama wewe ni Mpenzi wa kufuatilia Vipindi vya Bunge basi Malizia Hamu yako kwa kusikiliza Bunge Hili la Sasa.
Nasema hivi kutokana na Ukweli kwamba sioni dalili njema kwa Wapinzani kupita katika nafasi za Ubunge katika Uchaguzi ujao. Naona kama kuna kila Namna, Mbinu Chafu, Hujuma na pia...
Sijui ni utoto na mzaha wa Ndungai? Au ni kibri cha Tulia Akson? Wamejipunguzia masaa ya kufanya kazi wakati mshahara wao na posho zikiwa vile vile, baada wakate pesa zao ziende kwenye kupambana na corona wao wanajipunguzia masaa ya kazi!
Wanapitisha kujipunguzia masaa ya kazi kisa corona...
Karibuni.
UPDATES:
Spika anawakaribisha wabunge na kuwapa salamu za Rais Magufuli na kwamba wasishangae endapo mh Rais atawatembelea hapo bungeni wakati wowote kabla ya 30/6/2020.
Kadhalika Spika amesema Waziri mkuu yuko Dar akiratibu shughuli za kudhibiti Corona ila kesho atakuwepo Bungeni.
Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma:
Hakuna maswali kwa waziri mkuu
Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni
Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge
Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu
Waandishi wachache wataruhusiwa
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi
Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona.
''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa.
Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28.
Rais pia ametangaza hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.