johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,785
- 141,680
Nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba nafasi ya Spika ni miaka mitano lakini hakatazwi kugombea tena kama anajiamini.
Sasa bunge la Ndugai linaisha tarehe 30/5/2020 na Rais Magufuli atalivunja wakati wowote baada ya tarehe hiyo.
Spika Job Ndugai amewafanyia watanzania mazuri mengi kupitia utumishi wake uliotukuka bungeni.
Ndugai amekuwa mbunge wa kawaida, mwenyekiti wa bunge, Naibu Spika na sasa Spika na huko kwote ameacha alama za uongozi bora.
Je, kuna haja ya kuishawishi CCM impitishe tena Ndugai kuwa Spika wetu kwa sababu kule kwenye kinyang'anyiro cha ubunge hana mpinzani?
Combination ya Dr Magufuli , Mh Majaliwa na Ndugai imetuletea maendeleo chanya ya nchi yetu, je Ndugai apewe TANO TENA?
Maendeleo hayana vyama!