Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali: Mafuriko hayo yako wapi?
Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
Napenda kuwapongeza wabunge wa jamhuri la muungano wa Tanzania kupitia kambi kuu mbili za bunge, kwa kumaliza muhura wa takribani miaka mitano.
1:Hongera kwa kambi ya Chama tawala Yani wabunge wa CCM kwa kufumbia macho vitendo vya kinyama, uonevu na kikatili walivyokuwa wanafanyiwa watanzania...
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa...
Naomba Kujuzwa yafuatayo
Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni).
2. Kama Bunge...
Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, NCCR na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na CHADEMA na CUF vikipoteza.
Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai
Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya.
Maendeleo hayana Vyama
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea
Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia aliteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum na Rais Magufuli Novemba 16, 2015
Alichaguliwa...
Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020.
Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo.
Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
Ninakila sababu ya kuamini katika ili ikiwemo...
- Naamin Wabunge wote machachari wa Upinzani hawatorudi bungeni sababu Tume si huru, lakin wenzao Walishaahidi kutumia Dola kubaki madarakani.
- Pia Mheshimiwa wetu nae anapenda sana kutukuzwa.
Kwaio Wabunge watakaoingia mjengoni wengi watatoka...
Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.
Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa...
Utaratibu wa kikatiba ni kwamba Bunge likivunjwa Mawaziri nao wanapoteza sifa za kuendelea na Uwaziri kwani Waziri ni lazima awe Mbunge.
Huko nyuma utaratibu huu uliheshimiwa na marais wote hadi alipoingia Kikwete akaubadilisha na kuwaacha Mawaziri ofisini hadi mwezi wa uchaguzi
Je, awamu ya...
Akifungua kikao cha leo cha bunge ambacho kimehudhuriwa na wabunge wachache sana, Spika Ndugai alianza kwa kucheka kisha akasema "tumebakiwa na vikao viwili tu kabla ya kuagana"
Mjadala unaendelea na sasa mbunge Mariam Ditopile ndio anachangia.
Source: Channel Ten
Maendeleo hayana vyama!
Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti...
Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani.
Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake.
Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake.
Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza...
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.
Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli"
Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu
Chanzo: Eatv...
Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021.
Ila angalizo akagombee Tukuyu au awe wa kuteuliwa kama alivyo sasa. Mbeya hapana Sugu bado heshima na...
Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma
Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.