Brazil yarekodi vifo vipya 615 vya COVID-19, Msemaji wa Rais apata maambukizi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi

Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros amethibitishwa kupata COVID19. Rais Bolsonaro amesema vipimo vinaonesha hana maambukizi na amekuwa akihamamisha wananchi wake kuendelea kufanya kazi kama kawaida

Brazil imerekodi maambukizi 126,611 na vifo 8,588 hadi leo

=======
Brazil hits new daily record for novel coronavirus cases, deaths

Brazil, one of the world's emerging coronavirus hot spots, is reporting a record number of cases and deaths with the health minister flagging the possibility of strict lockdowns in particularly hard-hit areas.

Official figures show 10,503 new confirmed cases of the novel coronavirus in the last 24 hours, well above the previous record of 7,288 cases on April 30. There are 615 deaths, up from the previous record of 600 on Tuesday.

Health Minister Nelson Teich tells reporters for the first time that an increasing number of local authorities may have to institute "lockdowns," as the coronavirus growth curve does not appear to be flattening. He is not naming any specific cities or states.

While authorities have ordered non-essential services and businesses closed in most states, residents are still allowed to circulate. A lockdown, which so far has only been implemented in the city of Sao Luis in the country's northeast, prohibits people from leaving their homes except for certain necessary activities.

Still, Teich says, some areas of the country that had not borne the brunt of the pandemic may be able to consider gradually opening up.

Teich's comments stand in stark contrast to comments over the past two months from President Jair Bolsonaro, who has called the virus a "little flu" and criticised business shutdowns ordered by governors as more damaging to the country's economy than the virus itself.

Teich took office last month as virus cases started surging in Brazil. He pledged to save lives and the economy and said at the time that he and Bolsonaro saw eye to eye.

Bolsonaro's spokesman tests positive for virus
Otavio Rego Barros, spokesman for Brazilian President Jair Bolsonaro, has tested positive for the new coronavirus.

The 59-year-old former army general "is home following all recommended protocols" after his positive test result was confirmed on Tuesday, the president's office says.

More than 20 top Bolsonaro officials have tested positive for the virus, including communications chief Fabio Wajngarten and National Security Minister Augusto Heleno. Bolsonaro himself says he tested negative.

Al Jazeera

======
Brazil reports highest daily death toll

In Brazil, 615 deaths were reported on Wednesday - the highest death toll for a single day anywhere in the southern hemisphere.

This brings the country's overall coronavirus-related death toll to more than 8,500.

Health Minister Nelson Teich said the government may now recommend the introduction of lockdown measures in some of the worst affected cities.

President Jair Bolsonaro has so far dismissed the severity of the pandemic, encouraging people to carry on working.

BBC
 
Mkuu Hapa kwetu kuna uzembe gani? Kwani kama wewe unaona kuna uzembe usifanye yanayokuhusu ili unusuru maisha yako ?

Kwanini ulalamikie Rais wakati unajua ni swala la kifo na uhai?

Watakufa sana tena sana maana wamefanya ujinga kama wa hapa, hayo ndiyo matokeo. na bado sana! Rais lilikuwa likaidi, liliambiwa likashupaza shingo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali inarepotiwa kuwa ni tete sana kiasi bunge limeingilia kati rais amebaki na msimamo wake ila wenzetu check and balance ipo juu hivyo as i write tayari kuna miji imefungwa na bunge limeingilia kati maamuz ya Rais.

Stay tune
 
Rais wao aliwahi kusema hakuna haja ya lock down kwakuwa kifo kipo tu bila hata ya corona

Jr
 
Mkuu Hapa kwetu kuna uzembe gani? Kwani kama wewe unaona kuna uzembe usifanye yanayokuhusu ili unusuru maisha yako ?

Kwanini ulalamikie Rais wakati unajua ni swala la kifo na uhai?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabo lazima yafanyike at national level, short of that maambukizi yatakuwa makubwa kama ilivyo sasa! Mbona haya mambo yapo from times of emergency of deadly contagious diseases on this planet! Unadhani utayadharau leo upone, NO! Kule watakufa sana na hiyo herd immunity will never be achieved! Hii inakuja hapa it is a matter of time. mimi na wewe tumo humo shimoni, hata ukajilinda vipi kama maambukizi hayako contained.
Bahati nzuri huko hawafichi kama hapa

 
Mkuu Hapa kwetu kuna uzembe gani? Kwani kama wewe unaona kuna uzembe usifanye yanayokuhusu ili unusuru maisha yako ?

Kwanini ulalamikie Rais wakati unajua ni swala la kifo na uhai?



Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania isipokuwa safe, Uganda, Kenya, Malawi, Zambia, Mozambique, Rwanda, Burundi, Congo haziko safe!

Border ya Mutukula juzi Askari mmoja wa upande wa UG amepatikana na Corona na Colleagues wote wameambiwa wakae karantini.
Madereva wa malori wengi kutoka Tanzania wanapatikana na Corona hii inamaanisha nini?

Dereva wa lori anatoka Dar anaenda kula Dumila anaacha maradhi, anatoka hapo anaenda kula Manyoni anaacha corona, anatoka hapo anaenda kulala Misigiri ama Shelui anaacha coroma anatoka hapo anaenda hadi Kahama anakula anaacha Corona, anatoka hapo hadi Buseresere anapumzika anaacha corona na kote huku anakopita ana madem.

Akitoka hapo anaenda kucheleweshwa border ya Mutukula kama siku nzima (kwa sasa) anasambaza corona ni hatari.
Jiulize swali Nchi ya kimasikini tena umasikini wa kutupwa kama Tanzania ambako ukienda hospital unaumwa typhoid wanakupa Mseto au wanakwambia kanunue, nchi ambayo ina sehemu mbili au tatu tu za kutibu maradhi ya cancer eti watu hawafi kwa corona! Ila nchi kama Marekani yenye kila kitu eti wanakufa maelfu! nikihisi maumivu kidogo au headache napiga simu polisi (sio lazima niite ambulance) wanakuja kunibeba wananipeleka kituo cha afya na tena mimi sio raia natritiwa hivi je mzawa?
 
Sisi bado tupo kwenye denial, subiri wakianza kuanguka watu 1,000 Tanzania uone, huko chato kama mlango wa nyumba unafunguliwa sasa hivi utaambiwa hata mtu asiguse kitasa, kuna mtu anaogopa kajifungia ndani balaa.

Cheki makaburi hayo waliiyochimba jamaa, yanajazwa kila siku wanachimba mengine, na si futi sita sababu hawana muda wote huo kuchimba, ni kijiko kinapita kinabeba mchanga futi chache kazi kwisha, watu wanaingia dakika 10 wanazika familia nyingine inaingia, alafu kuna mtu anakwambia katuma sample za mapapai na mbuzi? endeleeni kuchapa kazi nyambaf

2020_04_03_91686_1585887859._large.jpg
 
Back
Top Bottom