bunge

  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la JMT ndiye mshauri mkuu wa Rais?

    Nimesoma kidogo kuhusu kazi za bunge la JMT ambapo miongoni mwa kazi hizo ni Kutunga sheria na Kuishauri serikali. Spika ndiye kiongozi mkuu wa bunge la JMT. Je, Spika ndiye mshauri mkuu wa Rais kama kiongozi mkuu wa serikali? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama! cc: Pascal Mayalla!
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo wa Spika wa bunge , Je, kuna haja ya Raia kuendelea kuiheshimu Katiba ya Tanzania ?

    Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa Ni uamuzi wa busara kabisa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa CCM?

    Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti. Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM. Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM...
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi wabunge wa CHADEMA wanataka kuwafanya nini! Serikali, Bunge wote wanaacha kujadili bajeti wanawajadili

    Kuna anayefikiri kama mimi? 1. Walipoondoka bungeni spika alifurahi na kusema hata wasipokuwepo ccm wanatosha kupitisha mambo yao na cdm hawana madhara yoyote na hawajavunja sheria wala kanuni yoyote. 2. Akaja Rais Magufuli akaonyesha kuumia sana kwa wao kuondoka akatoa amri wasilipwe posho...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Brazil yarekodi vifo vipya 615 vya COVID-19, Msemaji wa Rais apata maambukizi

    Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros...
  9. babumapunda

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

    WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi. Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku. RC Makonda amesema kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, tumpe tano tena Spika Job Ndugai akifanikiwa kurudi Bunge lijalo?

    Nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba nafasi ya Spika ni miaka mitano lakini hakatazwi kugombea tena kama anajiamini. Sasa bunge la Ndugai linaisha tarehe 30/5/2020 na Rais Magufuli atalivunja wakati wowote baada ya tarehe hiyo. Spika Job Ndugai amewafanyia watanzania mazuri mengi kupitia...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

    Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la bajeti ni takwa la kikatiba haliwezi kuahirishwa, Chadema wanatafuta huruma ya kisiasa lakini wamechelewa

    Balozi wetu huko Sweden amesema bunge la bajeti ni takwa la kikatiba hivyo haliwezi kuahirishwa kwa sababu zozote. Katiba inatamka wazi kuwa bunge la kbajeti litakaa kwa siku zisizozidi 45 ukiondoa week end na sikukuu hivyo hakuna namna unaweza kuahirisha na wabunge wanalijua hilo. Pili Dr...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Bunge la JMT halijavunjwa tayari kihoro kimeshawapata je likivunjwa?

    Sitaki kumumunya maneno naweka wazi kabisa hawa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kihoro. Hii ni kwa sababu 96% hawatarudi bungeni. Walitaka kutuaminisha kuwa hali ni mbaya sana ya maabukizi ya Covid-19. Baada ya bahati mbaya wabunge watatu kufariki kwa magonjwa mengine .Na wao walidhani huu...
  17. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

    Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima. Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo. Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asipokuwa makini bunge " lake" linaweza kuweka Historia hasi ya ajabu kabisa duniani

    Tujikumbushe; 1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge. 2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari 3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua 4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua 5. Wabunge zaidi ya 10...
  20. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Maguful na Spika Ndugai kama hamtaki kuahirishwa Bunge tumieni Video Conference!

    Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha. Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
Back
Top Bottom