bunge

  1. K

    Bunge, Serikali na Mahakama vyote havifanyi kazi vizuri 🤔

    Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu. Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
  2. Hospitali ya Benjamin Mkapa yaikosha kamati ya bunge kwa ubora wa huduma

    Na. WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Maswala ya UKIMWI imeipongeza menejimenti na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kwa ubora wa Huduma na kuwatia moyo kwa kuendelea kuwahudumia wananchi . Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
  3. Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
  4. Mene Mene Tekeli na Peresi... Kitanga kinaandika kwenye kuta za utawala wa nchi hii. mbele siyo kuzuri

    Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi Hawana maono mema kwa nchi Hawana huruma kwa nchi. Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
  5. R

    PreGE2025 Kilichosomwa bungeni ni maoni ya wananchi au ni taarifa ya kamati ya Bunge?

    Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka bungeni. Kwa namna hali ilivyokwenda hata vyombo vya habari vimekosa cha kuwaambia wananchi...
  6. Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 1, Januari 30, 2024

    Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 umepangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia leo Januari 30, 2024 hadi tarehe Februari 16, 2024. Taarifa ya Bunge imeeleza kuwa Mkutano huu umeongezewa wiki moja kutokana uzito wa majukumu yaliyopangwa ikiwemo uzito wa Miswada itakayoshughulikiwa. Miswada...
  7. PreGE2025 BAWACHA wamtaka Spika wa Bunge kuwaondoa akina Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
  8. K

    PreGE2025 Chonde chonde kamati ya bunge inayoratibu maoni ya wananchi kubalini yaishe

    Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na Bunge ifanye marekebisho katika sheria hizo. Nitatoa mifano michache:- (1) Uchaguzi wote uende kwa...
  9. Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
  10. Kamati ya Bunge yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya uviko pori la akiba Wami mbiki

    Na. Beatus Maganja Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori...
  11. J

    PreGE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

    ..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake. ..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni. https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
  12. J

    Sikiliza Mabishano yaliyoibuka kati ya Msemaji wa Bavicha na Mwenyekiti Kamati ya Bunge wakati wa uwasilishaji

    ..huyu Dada wa Chadema kwanza yuko very confident and composed. ..kitu cha ajabu ni kwamba maoni aliyokuwa akiyatoa Mwakilishi wa Bavicha yanafanana na yaliyotolewa na watoa maoni wengine kama CCT, na TEC. Tatizo limekuja baada ya maoni hayo kutolewa na Bavicha na Mwenyekiti akaanza kubishana...
  13. K

    Kamati ya Bunge mmesikia maoni ya wananchi na taasisi mbalimbali tunawaomba mtende haki

    Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai. Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
  14. Bunge Linaweza Kuuzwa?

    Kwamfano nikiwa na hela, nikapenda eneo ambalo bunge limejengwa naweza kununua na kufanya miradi yangu kama vile ufugaji wa kuku wa mayai, njiwa nk? Kama hairuhusiwi ni kwa mujibu wa sheria gani? Kama inaruhusiwa natakiwa kuanzia wapi? Asanteni.
  15. Usiku kama Mchana!, Mbunge Rohoro Agawa TV Bunge la Kahawa - Ngara

    USIKU KAMA MCHANA!, RUHORO AGAWA TV BUNGE LA KAHAWA - NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni...
  16. Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
  17. Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  18. Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

    NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya Advanced Certificate of...
  19. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  20. Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

    Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…