Bunge Linaweza Kuuzwa?

5 Nyingi

JF-Expert Member
Nov 15, 2023
247
594
Kwamfano nikiwa na hela, nikapenda eneo ambalo bunge limejengwa naweza kununua na kufanya miradi yangu kama vile ufugaji wa kuku wa mayai, njiwa nk?

Kama hairuhusiwi ni kwa mujibu wa sheria gani? Kama inaruhusiwa natakiwa kuanzia wapi?

Asanteni.
 
images (6).jpeg
 
...usizunguuke sana we mzee bunge la akina musukuma limekuwa la hovyo umeona tu bora wakuuzie ni sawa lakini. nadhani wasiliana na mgulu madelu mchembe
 
Mkuu umevutia wapi , maana mimi sometime navutia chooni au jalalani ila sijakufikia hizi akili !!
Nipe location nikamoke
walaaa hajavuta yupo sawa TU!!. kama mule ndani kuna covid-19 awasiliane na mgulu madelu mchembe wamuuzie tu hakuna namna
 
Kwamfano nikiwa na hela, nikapenda eneo ambalo bunge limejengwa naweza kununua na kufanya miradi yangu kama vile ufugaji wa kuku wa mayai, njiwa nk?

Kama hairuhusiwi ni kwa mujibu wa sheria gani? Kama inaruhusiwa natakiwa kuanzia wapi?

Asanteni.
Anza kwa kununua wabunge hasa wale wamichongo ambao marehemu asingeingliia Kati wasingetoboa ambayo Ni rahisi baadaye unanunua jengo halafu unakua mhimili.
 
Back
Top Bottom