bongotech255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝘂𝘆𝘂 𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗪𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 📱👤

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! 🇹🇿👏 Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. 📍 Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗼𝗰𝗵𝗶 𝗬𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝟭 😀

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥 Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. 😮‍💨 📱 Kwa nini MP02 ni ghali? 🤑 Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 — takribani TSh milioni...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗨𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗣𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗣 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔👀📱

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥 Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝘄𝗮𝗽𝗮 𝗪𝗮𝘇𝗮𝘇𝗶 𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗭𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 👀🔐

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. 🔐 Wazazi wataweza kudhibiti nini? 👤 Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀 👀 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗘𝗦𝗦𝗔𝗚𝗘 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗞𝗢 𝗠𝗔𝗣𝗬𝗔

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoni… tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi. Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. 😅💻 Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! 😂🔥 Enzi zimebadilika...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋. Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃 Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! 🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja ✨ Gemini...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗼𝗻𝘆 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗨𝗸𝗶𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮 𝗚𝗮𝗺𝗲𝘀 𝗼𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲 🎮

    PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. 😱💳 Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. 🤑🎮...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗫 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗣𝗼𝘀𝘁𝗶 𝘇𝗮𝗸𝗼 🫡

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔 Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘇𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗮 𝗹𝗼𝗰𝗸 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗳𝗮𝗰𝗲 𝗜𝗗 👤

    Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. 😳 Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮‍💨 Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗮𝘁a𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗠𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗜 𝗠𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮🧑‍🦯

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥 Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀 Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝘀

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. 👀 Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗼🔋📱

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? 👀🔥 Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE — ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Smartphone ambazo zinatengenezwa Tanzania

    Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃. Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
Back
Top Bottom